security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Lema ni mbunge M.pu,mbavu,
SAMAHANI SANA KWA KUSEMA KAULI HII,JE NA WALE WALIOMCHAGUA KWA MARA KWANZA TUNAWEZA KUSEMA KWAMBA SIO KOSA LAO HAWAKUJUA KUWA LEMA NI BALAA KWAO,JE WAKIMCHAGUA KWA MARA NYINGINE TUTAKOSEA NA HAO TUKIWAITA WA.PUMBA.VU??
Unajua hapa Arusha vijana wengi ni wanywa viroba hivyo niwepesi kushawishika.
Polisi mkoani Arusha imekamilisha 9uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.
hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (chadema) Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo akidai kuwa ndio wanaohusika na uchomaji moto ofisi za chama hicho.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Japhet Lusinga alisema;
".. katika uchunguzi wetu tumebaini kuwa hakuna mahali palipovunjwa kutoka nje ya uzio na kuruhusu watu kuingia ndani...tumegundua kuna tundu dogo darini eneo la kuelekea bafuni la upana wa futi moja na nusu kiasi haliwezi kuruhusu mtu kupita.
Tumejiridhisha kuwa hakuna mtu anayeweza kupita hapo na ndani tulikuta majibu na baadhi ya vitu vilivyoungua na vifaa vingine.."
SOURCE:
Mwananchi, alhamis, desemba 5, 2013 (FRONT PAGE)
MY TAKE:
Polisi watuambie ripoti ya uchunguzi wa mlipuko wa bomu imefikia wapi.,maana kama hali iko hivi nina mashaka kuwa hata mlipuko wa bomu inawezekana waliutengeneza wenyewe kama zilivyo hisia za wengi katika watu wenye kuwaza sawasawa.
Nikweli Mkuu Wateleban wapo vizuri ndio maana yule Rais wao Chongo hakukimbia wamarekani walivyowavamia
jamaa ana digrii ya usela oyaa...halafu ndo brain ya Chadema.Lema anatoa amri kwa polisi kama nani IGP au Waziri, kila siku nasema uwezo wa Lema ni mdogo mno katika masuala ya utawala.
Sasa kama ni CDM wamechoma, kwa nini wasiwakamate waliochoma..???
Mtu ameharibu Mali yake mwenyewe kwa makusudi kwanini akamatwe?
Sasa Mke wangu Mtarajiwa ASHA,MAADAMU USHAGUNDULIKA HUMU NDAN KUWA WEWE SI ALBANATI TENA HUON KAMA UNASTAHILI KUPEWA JINA LA SHOGA AU MCHELE MCHELE??
KWA SABABU HAINGII AKLINI DUME KUUPENDA UKIKE KIAS HIKI,CHAGUA JINA GANI TUTUMIE KATI YA SHOGA,JIKE DUME AU MCHELE MCHELE,
KUFANYWA KAMA KAUMU LUTI NI HATARI LAKN PIA KWA AFYA YAKO,NA IMEKEMEWA KWENYE VITABU VYOE VITAKATIFU
Sasa Mke wangu Mtarajiwa ASHA,MAADAMU USHAGUNDULIKA HUMU NDAN KUWA WEWE SI ALBANATI TENA HUON KAMA UNASTAHILI KUPEWA JINA LA SHOGA AU MCHELE MCHELE??
KWA SABABU HAINGII AKLINI DUME KUUPENDA UKIKE KIAS HIKI,CHAGUA JINA GANI TUTUMIE KATI YA SHOGA,JIKE DUME AU MCHELE MCHELE,
KUFANYWA KAMA KAUMU LUTI NI HATARI LAKN PIA KWA AFYA YAKO,NA IMEKEMEWA KWENYE VITABU VYOE VITAKATIFU
Sasa kama ni CDM wamechoma, kwa nini wasiwakamate waliochoma..???
Nikweli Mkuu Wateleban wapo vizuri ndio maana yule Rais wao Chongo hakukimbia wamarekani walivyowavamia
Mkuu, unatoka na mapovu bure. Polisi wamekamilisha kazi yao na ukweli ndo huo. Kama hamkubaliani na ripoti hiyo, ni vema mkawaita wachunguzi binafsi kufanya kazi hiyo. Hata FBI mnaweza kuwaita
Unakuta wasomi wetu maaskari Polisi wanafanya mambo ya ajabu sana kwa kutaka kutetea ujinga. Nafikiri kwenye suala hili kinachotakiwa ni kuwakamata waliochoma hiyo ofisi, bila kujali kama ni CCM, CDM, CUF au mtu asiyekuwa na Chama. Hivi huyu polisi aliambiwa achunguze kama waliochoma ofisi ni CCM? Haya ndiyo yanaitwa majanga!!!. Kwa lugha nyingine huyu Bwana anasema ofisi ilijichoma?
Tiba
Tatizo la chadema, wanajipiga hadi mabomu wenyewe
Swali ya kitoto hilo... Uhai si ni wako..??? We jaribu kujiuwa halafu usife uone kitakachofuata..Mtu ameharibu Mali yake mwenyewe kwa makusudi kwanini akamatwe?
Hao ndo waliochoma..??? Hujiulizi..??tayari wameshakatwa kamanda.,walinzi watatu na katibu muhtasi Dada Mwasha.
Lakini kauli yako inapingana na kauli ya Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambae anasema kuwa ofisi yao imechomwa moto na wanachama wa chama cha mapinduzi maarufu kama CCM.Inawezekana waliochoma ni wafuasi wa yule samsoni mwigambaaliyekuwa mwenyekiti wa cdm Arusha, ambao hawakupendezwa na kiongozi wao kuondolewa madarakani.