Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha juu ya CHADEMA

Kuna mtu kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi

Copy-Cat.Umeiga hadithi ya kutunga ya Nape alipotoka Gym na kijana aliyemuuliza kuhusu maandamano Moshi na Uchaguzi ndani ya Chama

Mtu unayejipambambanua kuwa na kipaji hufanyi hivy😵mba radhi kwa Alumni wa Mzumbe na Ilboru Sec.Get life!
 
Una uhakika Lukosi, Zemarcopolo, Shonza, Mwampamba nk ni CCM? Kuna watu ni CCM ila wanajifanya CDM na hao ndiyo hushangilia kila upuuzi ulioandikwa ili tu kuonyesha CDM hamnazo. Hata hivyo, ungeliandika Mwigamba, ungeliwafuma wengi ila kusema CCM na Zitto/Mkumbo basi umewakosa wengi.

Hao juu na wao ukiwasoma sana, wanashangilia upuuzi wa hali ya juu kwenda kwa CDM, wengine tunawasoma tunawaona tu hao ni CDM pure ila basi tu. Kuna siku watarudi zizini kwao walikotoka.
Ndugu yangu Sikonge sasa unafikiri chadema watasemaje? Akili zao ndefu watafikiri hivyo nilivyoandika.
 
Kuna mtu kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi

Hayo ni mawazo ,mitazamo na fikra za majuha sawa na matumizi ya kichwa pasna akili.
 
Taarifa hii inaleta ujumbe gani hasa? Kwamba CHADEMA wamechoma jengo wenyewe? Kwanini uchunguzi huu umekwenda haraka hivi?

Tupatupa wa Lumumba

una lolote la kupinga taarifa hii? kama huna kwa nini uwe interested na muda n.k? uchunguzi umefanyika na hayo ndiyo majibu!
Mimi CDM lakini nina wasiwasi mkubwa na wanachama wanaorusha matofali kwenye kamati kuu na kupora laptop za watu kuwa hawashindwi kufanya jambo hili.
 
Bado polis I wanaendelea Kuwait watumwa WA siasa za ccm Arusha ila zitawagharimu ccm wenyewe maana kwa akili ya kawaida kwanini CHADEMA Arusha wachome ofisi yao?
 
Niliwaonya polisi wasilete siasa kwenye jambo hili,tumechoka kusingiziwa
 
policeccm kazini uchunguzi wa kitoto kiasi hicho nani ataukubali.
 
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.

hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (chadema) Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo akidai kuwa ndio wanaohusika na uchomaji moto ofisi za chama hicho.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Japhet Lusinga alisema;

".. katika uchunguzi wetu tumebaini kuwa hakuna mahali palipovunjwa kutoka nje ya uzio na kuruhusu watu kuingia ndani...tumegundua kuna tundu dogo darini eneo la kuelekea bafuni la upana wa futi moja na nusu kiasi haliwezi kuruhusu mtu kupita.
Tumejiridhisha kuwa hakuna mtu anayeweza kupita hapo na ndani tulikuta majibu na baadhi ya vitu vilivyoungua na vifaa vingine.."

SOURCE:

Mwananchi, alhamis, desemba 5, 2013 (FRONT PAGE)

MY TAKE:

Polisi watuambie ripoti ya uchunguzi wa mlipuko wa bomu imefikia wapi.,maana kama hali iko hivi nina mashaka kuwa hata mlipuko wa bomu inawezekana waliutengeneza wenyewe kama zilivyo hisia za wengi katika watu wenye kuwaza sawasawa.
 
!
!
polisi wameanza na sarakasi zao kama za yule mkenya aliyedaiwa kumteka na kumtesa bwana ulimboka akakmatiwa kanisani.....teh teh teh teh polisisiem bana wamejitoa fahamu hadi basi
 
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.

hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (chadema) Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo akidai kuwa ndio wanaohusika na uchomaji moto ofisi za chama hicho.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Japhet Lusinga alisema;

".. katika uchunguzi wetu tumebaini kuwa hakuna mahali palipovunjwa kutoka nje ya uzio na kuruhusu watu kuingia ndani...tumegundua kuna tundu dogo darini eneo la kuelekea bafuni la upana wa futi moja na nusu kiasi haliwezi kuruhusu mtu kupita.
Tumejiridhisha kuwa hakuna mtu anayeweza kupita hapo na ndani tulikuta majibu na baadhi ya vitu vilivyoungua na vifaa vingine.."

SOURCE:

Mwananchi, alhamis, desemba 5, 2013 (FRONT PAGE)

MY TAKE:

Polisi watuambie ripoti ya uchunguzi wa mlipuko wa bomu imefikia wapi.,maana kama hali iko hivi nina mashaka kuwa hata mlipuko wa bomu inawezekana waliutengeneza wenyewe kama zilivyo hisia za wengi katika watu wenye kuwaza sawasawa.
Sasa kama ni CDM wamechoma, kwa nini wasiwakamate waliochoma..???
 
Ndo yale yale ya kujiteka na kumwagia Said Kubenea tindikali na kuisingizia serikali ili chama kipate huruma ya wananchi. JAMANI SASA HIVI WANANCHI HAWADANGANYIKI. Jaribuni kubadili mbinu.
 
Tulijua tu kuwa CHADEMA watatumia fursa ya kutoelewana kwao kufanya mambo kwa lengo la kumjenga Lema kisiasa kama kawaida yake kupitia matukio ya kulipua mabomu na kuchoma moto
 
Ndo yale yale ya kujiteka na kumwagia Said Kubenea tindikali na kuisingizia serikali ili chama kipate huruma ya wananchi. JAMANI SASA HIVI WANANCHI HAWADANGANYIKI. Jaribuni kubadili mbinu.
Kabisa mkuu. Chdema wana mbinu za kzamani zilizokataliwa pahala pengine
 
mapolice wa ccm wajinga hao chadema hawajahusika unaweza kuichoma nyumba yako moto kweli police ccm wajinga sanaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom