Taarifa kwa wakazi wa Guangzhou China kuhusu Diamond

Taarifa kwa wakazi wa Guangzhou China kuhusu Diamond

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Kwa wapenzi nn mashabik wa music wa Tanzania mjini Guangzhou China....for the first time.
WCB president,Diamond weekend ijayo atakuwa na maonyesho ya music mjini humo.

Tarehe na detail zingne zitakujia soon.
 
kulikuwa na maana gani kuwahi kupost habari hii huku huna details za kutosha kama venue, kiingilio na tarehe, au ndo kimbelembele tukujue unajuana sana na dimondo?
 
Napata shida sana kutambua uwezo na elimu uliyonayo na ukakamavu wako. Inawezekana kweli ukiamka asubuh cha kwanza kutangaza anachofanya mwanaume mwenzio au kufikia hata kumtetea anapovurunda kwenye maswala yake ya ngo.no? Ile suruali unapoegeshiaga katkat ya makalio na ulivyojibu huku umebana pua, eti wee vipi nmetambua ww ni mtu wa namna gani? Jahazi leo wapo lango la jiji vipi utaudhulia?
 
Kwa wapenzi nn mashabik wa music wa Tanzania mjini Guangzhou China....for the first time.
WCB president,Diamond.
weekend ijayo atakuwa na maonyesho ya music mjini humo..
tarehe na detail zingne zitakujia soon..
#They hatin eer day..we earning more eer day.

Angalizo tu, mzisome vyema sheria za China Mainland, kesi ya unga ni kunyongwa tu.

Kila la heri.
 
ndio maana wanaambiwa ni drug containers yaani kafika hadi china ila hajui show ni wapi na wapi na tarehe ngap?? au kawahi na birthday za watu zimeahirishwa??
 
Napata shida sana kutambua uwezo na elimu uliyonayo na ukakamavu wako. Inawezekana kweli ukiamka asubuh cha kwanza kutangaza anachofanya mwanaume mwenzio au kufikia hata kumtetea anapovurunda kwenye maswala yake ya ngo.no? Ile suruali unapoegeshiaga katkat ya makalio na ulivyojibu huku umebana pua, eti wee vipi nmetambua ww ni mtu wa namna gani? Jahazi leo wapo lango la jiji vipi utaudhulia?

Maneno tu hayo.
hayawez nifanya niwe hivyo unavyosema.
TANZANIA BILA VIJANA WENYE CHUKI NA WIVU INAWEZEKAN IKIWA KILA MMOJA ATAFANYA KAZ KWA BIDII.
Keep hatin..we keep earning more eer day.
 
Kwa wapenzi nn mashabik wa music wa Tanzania mjini Guangzhou China....for the first time.
WCB president,Diamond weekend ijayo atakuwa na maonyesho ya music mjini humo.

Tarehe na detail zingne zitakujia soon.

Kwa uelewa wangu mdogo na elimu yangu ndogo niliyokuwa nayo,mtu akiniambia wikiendi ijayo ama mwaka ujao au hata siku ijayo,anakuwa na maana ya kuwa ni wikiendi inayokuja baada ya hii iliyopo ama mwaka unaokuja baada ya huu uliopo ama ni siku inayokuja baada ya hii iliyopo na sio miaka kumi ama siku sabini mbeleni!
Samahani lakini mkuu,hivi utasemaje wikiendi ijayo ikiwa huijui ni tarehe ngapi?Au tarehe ya wikiendi hiyo ilipotea kwenye kalenda zote ama kufutwa?
Sina chuki na mtu,ni mtazamo na mawazo yangu finyu!Together.
 
Back
Top Bottom