Taarifa kwa wale wa SAUT mwanza

Taarifa kwa wale wa SAUT mwanza

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Changamkieni utiaji saini ktk accomodation & meals allowances kwani chuo kimetoa muda wa siku 2 kuanzia 2/10/2012 hadi 4/10/2012. Kumbuka self control on money expenditure.
 
Ivi kwa first year ambaye hajaripot mpk sasa anaweza kupokelewa akija?
 
je kwa atayechelewa hyo tarehe 4? Itakuwaje?
 
Jmn mm nauliza
hv ukiwa advanced diploma unaweza ukapata mkopo?
 
Wameöngeza siku bwana.. Then kuna watu hawajapata akaunti zao so wameongeza time
 
Back
Top Bottom