Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014
Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea,
Kwa maelezo zaidi tembelea www.heslb.go.tz
Naambatanisha majina ya waliochaguliwa na kwa ufafanuzi na msaada zaid
View attachment 183155
Ivi Janani na wanaoenda certificate majina yametoka? Kama yametoka yanapatikana ktk wbsite gani, msaada wenu please!
Hivi katika majina yaliyotolewa na Nacte ni hayo tu? Au kuna majina mengine yatatolewa na wizara ya elimu, wadau naomba msaada wenu ili nifahamu
Nisaidieni jina loveness rukaka- niliomba mee je nimo?
Nisaidieni wakuu kunitafutia jina la mdogo wangu silioni.anaitwa Nuruana Richad
kuna huyu bi mdada anatafuta jina lake ila link ya nacte inamzingua anaitwa MIE NIACHENI S0660/0028/2008 msaada tafadhali