Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

lupeke

Member
Joined
May 6, 2012
Posts
56
Reaction score
40
Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014

Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea,
Kwa maelezo zaidi tembelea www.heslb.go.tz

Naambatanisha majina ya waliochaguliwa na kwa ufafanuzi na msaada zaid

View attachment 183155
 
za leo ndugu zangu naomben mnisaidie niliomba kujiunga na diploma ya ualimu sasa link zao zimenichanganya nisaidien kutafuta jina MZUNGU MEIVUKIE no S0977.0043.2007
 
naomba tovuti ya chuo cha ualimu patandi kwa anayefahamu maana joining hazitumwi posta kwa kuwa waajiri wakiona wanazificha. so unafanya kudownload kwenye web yao naomba tafadhali kwa mwenye nayo.
 
Kaka toa ufafanuzi majina hayo ni ya NACTE au wizara??Maana Mimi niliapply kupitia CAS ila majina bado hayajatoka...Ntashukuru sana...
 
Ivi Janani na wanaoenda certificate majina yametoka? Kama yametoka yanapatikana ktk wbsite gani, msaada wenu please!
 
Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014

Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea,
Kwa maelezo zaidi tembelea www.heslb.go.tz

Naambatanisha majina ya waliochaguliwa na kwa ufafanuzi na msaada zaid

View attachment 183155

Kaka mbona maelezo yanaonyesha mkopo ni kwa wale waliochaguliwa UDOM TU hembu tupe ufafanuzi brother wangu amechanyikiwa hapa.
 
jaman kombi za arts hasijachaguliwa?mana niliomba ila naona ya sayansi na lugha nisaidieni jaman nijue nimepangiwa wapi na kombi gan namba yangu ni P4348.0541,MZUNGU MEIVUKIE nategemea majibu toka kwenu
 
nisaidieni jaman nimechaguliwa wapi niliomba stashahada ya ualimu jina MZUNGU MEIVUKIE P4348.0541 kombi ya arts
 
kuna huyu bi mdada anatafuta jina lake ila link ya nacte inamzingua anaitwa MIE NIACHENI S0660/0028/2008 msaada tafadhali
 
Hivi katika majina yaliyotolewa na Nacte ni hayo tu? Au kuna majina mengine yatatolewa na wizara ya elimu, wadau naomba msaada wenu ili nifahamu
 
Hivi kwa walioomba stashahada ualimu sekondari udom majina yametoka!?
 
Ivi Janani na wanaoenda certificate majina yametoka? Kama yametoka yanapatikana ktk wbsite gani, msaada wenu please!

majina yametoka ndugu. nipe jina lako na kozi uliyoomba
 
Hivi katika majina yaliyotolewa na Nacte ni hayo tu? Au kuna majina mengine yatatolewa na wizara ya elimu, wadau naomba msaada wenu ili nifahamu

majina ndo yale na wizara ya elimu haihusiki. wahusika ni Nacte na Tamisemi. Over
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Nisaidieni jina loveness rukaka- niliomba mee je nimo?
 
Nisaidieni wakuu kunitafutia jina la mdogo wangu silioni.anaitwa Nuruana Richad
 
Back
Top Bottom