Taarifa kwa waliotoswa na heslb

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
JAMANI J4 MNATAKIWA KUFIKA OFISI NDOGO YA BUNGE DAR-ES-SALAAM HII NI TAARIFA RASMI KUTOKA KWA WADAU WALIOJITOLEA KUFIKA MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KWENDA MOJA KWA MOJA KATIKA KAMATI YA BUNGE NA TAMKO LIMETOKA kuwa wote mnatakiwa kufika ofisi ndogo ya Bunge hapo jumanne zaidi piga 0752-260278 utapewa maelekezo jinsi ya kufika kwa wale wageni ,,,God bless you
 
Kama kungekuea na JF nobel price,nahisi ningekupa kura yangu.....

I like your ways forward....
 
Chadema wanaingia vp kwenye hii mikopo? Au inakuwa vp mkuu?
Ufafanuz plz mtoa uzi
 
Last edited by a moderator:
:A S-key:Kweli wana Jf tunastahili kuendelea kuwa jamii moja kwa hili. Wanaharakati na wanaelimu wakiungana sijui itatokea nini? Ebu wakuu nielezeni
 
Chadema wanaingia vp kwenye hii mikopo? Au inakuwa vp mkuu?
Ufafanuz plz mtoa uzi
Tmatimba...
Ishu ipo hivi...

Hawa madogo waliapply na wana vigezo vyote vya kupata mkopo, ikiwemo hali duni, priority course,uyatima nk nk...

Lakini cha kushangaza,wamenyimwa mkopo kabisa, ilhali wapo wengine waliopata mkopo wakati hawajakidhi hivo vigezo vya kupata mkopo...

Hawa vijana wakaanza kufuatilia, ni kivipi hawajapata huo mkopo, ambao ni kodi na shilingi za wazazi wao;
Mbaya zaidi wamekua wakiambulia majibu ya fedheha..

Walipoenda heslb waliambiwa pesa zimeisha,waliopata wamepata na waliokosa imekula kwao,kama hawajaridhika na majibu wakaseme kwa mwenye nchi,wakapiga hatua mbele,wakaenda wizarani, napo walikutana na Jamaa fulani anajiita Mulugo, aliwaambia kauzeni mbuzi na kondoo zenu musome, madogo wakaamua wajisogeze kwa waziri mkuu, huko napo walifukuzwa baru ndala mkononi na walinzi....
Basi vijana wakaamue waende kwa baba Ridhi1,sasa sijui kilichotokea...

Nahisi huko kwa pres. hawajapata ufumbuzi, hivyo wameamua wajisogeze kwa CDM maybe they'll be granted some delight...
 
Last edited by a moderator:
kila kitu kinahitaji enforce mechanism Chadema ndio wametoa mwelekeo wa kufuata na hatimaye kamati ya Bunge ikahitaj watu wafike hapo j4
 
Chadema wanaingia vp kwenye hii mikopo? Au inakuwa vp mkuu?
Ufafanuz plz mtoa uzi

We kwani umeishia darasa la ngapi ..!? Au elimu haijakujomboa ..!? Ina maana hujui kama multiparty system( vyama pinzani ) vina kazi ya ku act as a public watchdog ...!?
 
Last edited by a moderator:
kila kitu kinahitaji enforce mechanism Chadema ndio wametoa mwelekeo wa kufuata na hatimaye kamati ya Bunge ikahitaj watu wafike hapo j4

Xafi kwa kusaidia kuelekeza kaka maana kuna vilaza wanataka walete chuki zao za kijinga za kisiasa kwenye mambo ya msingi .... Kwani chadema hairuhusiwi kusaidia wananchi ..!?
 
kila kitu kinahitaji enforce mechanism ndio maana tumepata nafasi ya kwenda Bungeni kutoa kilio hk
 
Hapa hutuzungumzii maswala ya CHADEMA,tunazungumzia maswala nyeti ya utaifa na maendleo(ELIMU).Tumefatilia mahala kote kama jamaa alivyoeleza ,hapo juu ila tumeambulia patupu,kuanzia bodi ya mikopo,wizara ya elimu,kwa mtoto wa mkulima,kwa baba RIZ uko kote ola.jana na leo tukaelelea MAKAO MAKUU CHADEMA,na kwakuwa jamanne tarehe 15,kamati ya bunge zinaanza tumeshauliwa kulifkisha suala hl lijadiliewe upyaaa,ili tupate muhafaka tunakwenda vyuo ni ama vipi,tumetendewa khaki ama vipi,na hyo bilion 306+19 zimeishaje kwa idadi ndogo vile wanavyuo elf 29 badala 53,na huyo bwana COSIMAS MWAISOBWA msemaji wa bodi ya mikopo na data zake anastail adhabu gani kwa kulidanganya taifa na Mh.MLUGO.pia.Acheni uchama angalieni masuala nyeti kwanza.kama kuna unayemjua mwabalishe tuungane tupate msukumo na haki itoke uko ilikofichwa na hao wanaojiita wenye tamko la mwisho.NAWASILISHA
 
kama huwez fka bhac no way out wengine watakuwakilisha vizuri
 
nashauri hata kwa wale wenye mkopo wasisite kuungana na sie ili nguvu iwe kubwa. Au mnaoneje wadau
 
Chadema wanaingia vp kwenye hii mikopo? Au inakuwa vp mkuu?
Ufafanuz plz mtoa uzi

mm cha kukusaidia hapo kwenye de ni demokrasia na hiyo ma ni maendeleo ya elimu chuo kikuu,,,, umeisoma?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…