Chadema wanaingia vp kwenye hii mikopo? Au inakuwa vp mkuu?
Ufafanuz plz
mtoa uzi
Tmatimba...
Ishu ipo hivi...
Hawa madogo waliapply na wana vigezo vyote vya kupata mkopo, ikiwemo hali duni, priority course,uyatima nk nk...
Lakini cha kushangaza,wamenyimwa mkopo kabisa, ilhali wapo wengine waliopata mkopo wakati hawajakidhi hivo vigezo vya kupata mkopo...
Hawa vijana wakaanza kufuatilia, ni kivipi hawajapata huo mkopo, ambao ni kodi na shilingi za wazazi wao;
Mbaya zaidi wamekua wakiambulia majibu ya fedheha..
Walipoenda heslb waliambiwa pesa zimeisha,waliopata wamepata na waliokosa imekula kwao,kama hawajaridhika na majibu wakaseme kwa mwenye nchi,wakapiga hatua mbele,wakaenda wizarani, napo walikutana na Jamaa fulani anajiita Mulugo, aliwaambia kauzeni mbuzi na kondoo zenu musome, madogo wakaamua wajisogeze kwa waziri mkuu, huko napo walifukuzwa baru ndala mkononi na walinzi....
Basi vijana wakaamue waende kwa baba Ridhi1,sasa sijui kilichotokea...
Nahisi huko kwa pres. hawajapata ufumbuzi, hivyo wameamua wajisogeze kwa CDM maybe they'll be granted some delight...