Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelamba kila kitu 100%, lakini moyo unanisuta kubaki mathkani...
Lazima nitie maguu hizo pande, mpaka kieleweke...
Oyah! Na wengine muliopata mkopo, msisite kufika yale maeneo, tuwapige kiki wana...
Kijana una moyo wa kuwajali wenzio sio km wengine wanodai nao hawakupata wakati ukweli walipata kwanini sasa wakane labda walitoa hongo inauma sanaSimbaya mkituambia ofisi ziko maeneo gan huko dar hasa kwa sisi wageni. Hivi ndo nipo kwenye gari kutokea mbeya to dar. Help please