PovuTeh teh teh hongera zao wakina Aveva na kundi lake kwa kuwashika masikio na akili mashabiki na wanachama wa simba,duh kweli kali. Yaani kabisa mnafunga safari mpaka airport kupokea zigo babu lenye mamvi yake?. Hapo points za FIFA ndio msahau kabisa.
Kama hutaki sio lazima kwanza hata kadi hunaYaan saa 12:30 asubuhi tuwe Airport kumpokea Okwi na kumsindikiza mpaka RAHA TOWER kwaajili ya kusaini mkataba (tena mkataba wa miaka 2).
Haitoshi sisi wanaSimba turudi tena kwa msafara mpaka Airport kumpokea Mo Dewji na kama haitoshi tumsindikize mpaka nyumbani kwake (eti akapumzike kidogo).
Eeeh...tena saa 9 alasiri turudi tena kwa msafara sisi mashabiki wa MNYAMA mpaka Airport kumpokea NGOMA anayekuja kujiunga na MNYAMAAAA.
Daaaaah.!
Mmetuona sisi ni vikaragosi, vikatuni flani hivi au matoy mtupelekeshe ivyo na iyo rimoti yenu...yaan mbele tembea,simaa...geuka...tembea.
Hivi nyie viongozi na wewe uliyeleta uzi huu hapa akili zenu mmeshikiwa na nani.?? Hivi nyinyi mnawaza kupitia kiungo gani cha mwili.??
Hili sonyo nililolitoa hapa yaani hata shetani na viongozi wake waandamizi hawajawahi lisikia toka watupwe hapa duniani.
Melvine.!
Simba kweli ni mapopoma,ya FIFA mshasahau sasa hivi....Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.
Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.
[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja
Mapokezi ya zigo?Vipi msafara umefanyika wa mapokezi!??
Wivu mbaya
Ndioo 100%Vipi msafara umefanyika wa mapokezi!??