Taarifa kwa wana Simba

Taarifa kwa wana Simba

Teh teh teh hongera zao wakina Aveva na kundi lake kwa kuwashika masikio na akili mashabiki na wanachama wa simba,duh kweli kali. Yaani kabisa mnafunga safari mpaka airport kupokea zigo babu lenye mamvi yake?. Hapo points za FIFA ndio msahau kabisa.
Povu
 
Yaan saa 12:30 asubuhi tuwe Airport kumpokea Okwi na kumsindikiza mpaka RAHA TOWER kwaajili ya kusaini mkataba (tena mkataba wa miaka 2).

Haitoshi sisi wanaSimba turudi tena kwa msafara mpaka Airport kumpokea Mo Dewji na kama haitoshi tumsindikize mpaka nyumbani kwake (eti akapumzike kidogo).

Eeeh...tena saa 9 alasiri turudi tena kwa msafara sisi mashabiki wa MNYAMA mpaka Airport kumpokea NGOMA anayekuja kujiunga na MNYAMAAAA.


Daaaaah.!
Mmetuona sisi ni vikaragosi, vikatuni flani hivi au matoy mtupelekeshe ivyo na iyo rimoti yenu...yaan mbele tembea,simaa...geuka...tembea.

Hivi nyie viongozi na wewe uliyeleta uzi huu hapa akili zenu mmeshikiwa na nani.?? Hivi nyinyi mnawaza kupitia kiungo gani cha mwili.??

Hili sonyo nililolitoa hapa yaani hata shetani na viongozi wake waandamizi hawajawahi lisikia toka watupwe hapa duniani.




Melvine.!
Kama hutaki sio lazima kwanza hata kadi huna
 
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini mkataba wa kuichezea simba kwa miaka miwili.

Baada ya hapo saa 5 asubuhi, msafara utaenda tena Airport kumpokea mwanachama wetu Mohammed Dewji na kumsindikiza hadi nyumbani kwake ambapo Baada ya mapumziko mafupi yeye mwenyewe ataongoza msafara wa kwenda uwanja wa ndege kumpokea Donald Ngoma atakayetua mnamo saa 9 alasiri akitokea Zimbabwe tayari kuja kujiunga na Simba.

[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] nguvu moja
Simba kweli ni mapopoma,ya FIFA mshasahau sasa hivi....
IMG_20170520_210528.jpg
 
Hamna kazi za kufanya ni maandamano tu leo nenda airport rudi mjini nenda airport rudi mjini.

Mchezaji anasign kimya kimya then huwa washabiki wanajitokeza kutambulishwa uwanjani.

Afande Mpinga usiruhusu maandano kama hayo yasiyokuwa na tija yoyote zaidi ya kuzuia barabara kutumiwa na watuamiaji wengine
 
tapatalk_1498155701148.jpeg

Washabiki wakiwa uwanja wa Ndege Mw.Nyerere waki msubili OKWII
 
Back
Top Bottom