Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
Unakopa kwa mwenzako alafu unalipa ada ukipata ID unamrudishia boom lake
Nakumbuka sana hustle za udsm wakat nasoma migomo, boom kuchelewa, mean testing, accomodation, shuttle, maji, kusapu, etc etc polen wadogo zangu yana mwisho haya. Ni kwel hamna tena revo. sq?
rev square wameizibiti balaa,ila cku hzi harakati zote zinafanyikia mabibo hostel.
Dogo harakati zimekufa, juzikati umeme umekatika mnaenda kuziba barabara badala ya kwenda Tanesco, Kisanko ni CCM damu anatumika na Council kuwakandamiza, sidhani kama First year wanaijua hata rev square ilipo, Kunji Limeishia 2012 semister ya Pili, hakuna legacy ilobaki zaidi ya Cowards and Puppets.