Taarifa:kwa wana UDSM.

Taarifa:kwa wana UDSM.

poleni sana ndugu zangu wana udsm..nakumbuka tokea revo square ilivyokufa pale, uongozi unafanya utakavyo kwa wanafunzi...
 
Sio vibaya kujua na hili.
Ili upate accommodation unapaswa kufanya usajili kwanza!
 
Nakumbuka sana hustle za udsm wakat nasoma migomo, boom kuchelewa, mean testing, accomodation, shuttle, maji, kusapu, etc etc polen wadogo zangu yana mwisho haya. Ni kwel hamna tena revo. sq?
 
rev square wameizibiti balaa,ila cku hzi harakati zote zinafanyikia mabibo hostel.
 
Dogo harakati zimekufa, juzikati umeme umekatika mnaenda kuziba barabara badala ya kwenda Tanesco, Kisanko ni CCM damu anatumika na Council kuwakandamiza, sidhani kama First year wanaijua hata rev square ilipo, Kunji Limeishia 2012 semister ya Pili, hakuna legacy ilobaki zaidi ya Cowards and Puppets.
 
kumbuka udsm harakati huwa haziishi,ni suala la muda tu kiongozi.
 
Back
Top Bottom