Taarifa:Leo tumeamkia ANGAZA kujua afya zetu.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari ya kuamka wanaCC wote.
Ni matumain yangu wote mpo wazima kabisa....leo tupo na my wife Arabela ANGAZA ikiwa ni maandalizi ya kupata mtoto wetu wa kwanza.
Mungu mbariki mke wangu,Mungu mbariki kiumbe ulie tuandalia. Nimekumis mke wangu.

Updates

Tumepata majibu yetu yapo poa safi damu zetu hazina vijijududu vya aids,sasa tunaweza anza mchakato wa rasimu ya kumleta mtoto mupya.
 
naambiwa hapa maji maji ya ukeni yana virusi vile..na kama una michubuko mapajan au kwenye korodani uwezekano wa kupata ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…