Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Nimejifunza haya:-
1.kanisa la mtakatifu petro sio kanisa kama kanisa Bali ni sehem ya ofisi ya kijasusi ya kidola hapa nchini!!na ina compromise na Dola kamili ambayo ndio hiyo The state!!
2.Kesi ya mbowe ni ya kubumba ili kumzuia kuharakisha mchakato wa katiba mpya ambao Dola imepanga ufanyike mwakani!!!Mbowe ataachiwa huru hapo baadae mwakani au mwisho wa Mwaka!!!
3.Mchakato wa katiba mpya utaanza 2022 na watakao pinga wataondolewa kimya kimya!!!
4.Katiba mpya itakamilika na kuwa rasmi kuanzia 2023 kuendelea na uchaguzi wa 2025 utafanywa kwa katiba mpya!!!
5.Inawezekana 2025 chama cha upinzani kikatwaa nchi kwa mfumo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!!
 
Ngoja, Tusubiri tuone mkuu.
 
Aisee hawa ndio wenye nchi yao, sisi wengine tunasindikiza.

Mkuu Tumia akili fanya kuniunganisha basi hapo 'the state' wote tule keki ya taifa mtu wangu.
 
Hamna lolote,acha kudanganya wajinga wajinga
 
Mkuu Tumia akili!!Waambie The state kuwa kuna kijana anaweza timiza maono yao ili niwe hapo baadae!!!Nipigie chapuo mkuu!!!
 
Hamna lolote,acha kudanganya wajinga wajinga
Yakitimia mnaanza kusema uchawi upo,mimi nadhani wewe ndio mjinga mjinga kwann usisome na kupita kimya kimya tu?[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Acha watu wapate elimu bure waje kuwa hata walinzi .....wewe Kwa sababu ukusoma bure unataka kutengeneza choyo Kwa wenzako........ushaambiwa usipokuwa na form 4 huwezi kupata connection.......so waache waambulie maana ndio mwanzo hata WA certificate
 
What hell is this??
 
The state imeanza mchakato wa katiba mpya kwa kauli hizi za Pinda na Warioba!nadhani mchakato upo mbioni hadi mwakani tunayo katiba!!
 
Jinn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…