Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Mbona kama.....Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki. Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza.
You're nobody...wewe ni kama wasaliti wengine walioko kwenye serikali wenye access ya information muhimu ambao wanavujisha kabla hazijatangazwa.