Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Mbona kama.....
 
Hii mada angeileta baada ya angalau miezi miwili huko mbele tungemuelewa lakini tukio la juzi tu hili alafu anataka kusema eti tayari wamesha kaa na mama kumpa hayo
Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.

Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.

Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.

Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
 
Hii mada angeileta baada ya angalau miezi miwili huko mbele tungemuelewa lakini tukio la juzi tu hili alafu anataka kusema eti tayari wamesha kaa na mama kumpa hayo
Nakuelewa mkuu, lakini kama huyu jamaa aliweza kusema kabla haijatokea, tutafanyeje
 
Hii mada angeileta baada ya angalau miezi miwili huko mbele tungemuelewa lakini tukio la juzi tu hili alafu anataka kusema eti tayari wamesha kaa na mama kumpa hayo
Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.

Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.
 
In accordance to the first thread na hii apa, SOMETIMES kama ikitokea Rais wa Nchi akawa ni TISHIO juu hali ya usalama wa Nchi basi mamlaka husika inabidi wadeal nae. BUT don't put it in your head ni mawazo. Mfano Trump walimtoa mchezon as he gives out a red signs

Lakini "thestate" naona kama iko na vipande vipande kadhaa sio One Solid instrument japo ni Complex instrument
 
Nimesoma mkuu hiyo post Magufuli alikuwa mgonjwa wa moyo zamani, na huyu alikuwa anafahamu. So obviously alikuwa na information za ndani juu ya Hali tete ya Rais alitumia kupredict his end.

Tatizo unakurupuka sana kwa kubwabwaja.

Hakuna mtu nayemuheshimu humu JF kama Mkuu Tumia akili huyu jamaa ni asset humu. Kila andiko lake linabeba uzito wa hali juu.
 
Tatizo unakurupuka sana kwa kubwabwaja.

Hakuna mtu nayemuheshimu humu JF kama Mkuu Tumia akili huyu jamaa ni asset humu. Kila andiko lake linabeba uzito wa hali juu.
Sijakurupuka mkuu, huo utabiri hata mfanyakazi mwenzangu alishafanya baada ya Mange Kimambi kueleza tukio la Hayati 'kupata mstuko wa moyo' Wakati wa ufunguzi wa uwanja ndege za kijeshi. Hakuna kipya
 
Umekuja na mbwembwe kama zote, (wanasema vijana huko mtaani)
 
Nitakuwa naweka tiki kila litakapofanyika mojawapo ya uliyoyataja[emoji3516]
 
Huo upande wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…