Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Mimi nauliza kwani kuna makubaliano yoyote ambayo Rais anaingia nanyi kabla hajawa rais?

Ili ikiwa amekengeuka basi mnamchukulia hatua?
Au ni hii hii katiba inayomuongoza ndiyo anatakiwa aifuate?

Na kama hakuna makubaliano baina yake na nyinyi, je Kwanini mnalazimisha abadilishe katiba alete mpya ikiwa hamkuwa na makubaliano yoyote ya awali kwamba abadilishe?
 
Nawapongeza kwa kumuua dhalimu lkn bado ntawalaumu kwanini walichelewa? Yule dhalimu hakupaswa kumaliza mwaka akiwa ikulu.
 


“””Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.”””

————————————
If this is the case then I don’t see the reason why what happened, happened!!

Sounds more like a deliberate move was made just to neutralize the all saga (September 2015 - December 2015)

Somebody was made a sacrificial goat to save “Faces”!

Mungu anawaona!
 

Black & White.
 
Tatizo hukosima aliyoyaandika mwaka Jana
 
Aisee! Nyie ndo mmeshika makali.
 
Kwakweli kama ndio hivi, tumekwisha, Mungu tu atunusuru
 
Mkuu 'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.

Pia taasisi hii tangu kuasisiwa kwake haijihusishi na vitendo vya mauaji au kuleta maumivu kwa watu.
Umejibu majibu mazito sana mkuu
 
Hivi unajibu kwa kutumia kichwa au tumbo mkuu
 
Mshenzi mkubwa wewe, ukitoka hapo unaenda kupita Kijazi flyover kumuwahi basha wako, bogus
Mpumbavu babu yako wa chatto, kama dhumuni tu lilikuwa maflyova akina nyerere walikuwa ni wapumbavu wa kutupwa kufanya harakati za kumuondoa mkoloni, make mkoloni angeyajenga nayo tangu mwaka70, nyie ndo yale mashenzi ambayo yako tayari mkewe afilwe kisa tu anayefila kaleta msaada wa chumvi nyumbani, oneni maza kaanza kujenga busisi na sgr mwz to isaka na hajateka wala kuua mpinzani wake kiitikadi.
 
1: Fufua uchumi imarisha vyanzo vya mapato
2:Ongeza msisitizo kwa watanzania juu ya umuhimu wa kuchapa kazi kukuza uchumi
3:Fungia kabisa shughuli za kisiasa ili watu wapate wasaa wa kufanya kazi.Siasa ziwe wakati wa kampeni tu
3:Jenga miundombinu mingi zaidi kwakuwa ndiyo uti wa mgongo katika kuinua uchumi
4:Tumbua na fuatilia kwa karibu kabisa utendaji wa wateule wako
5:Kipaumbele cha kwanza iwe kuinua uchumi watanzania tuondokane na mateso ya umasikini
6:Fungia vyombo vya habari vinavyoendekeza siasa
7:Funga viongozi wa upinzani wanaoenda kinyume na maazimio ya taifa kwani hawana tofauti na wauaji kwa kujaribu kuua na kutesa wananchi kwa umasikini
8:Fufua mashirika ya serikali yote ikiwezekana wale wanaobainika kuhujumu mashirika ya Umma adhabu iwe kifo
9:Swala la elimu iwe ni lazima ma iwe bure kabisa
10:Kila kijiji kiwe na shamba la kijiji litakalohudumiwa na wanakijiji
11:............
12............
 
Namba 3 na 7 zinaonesha jinsi ambavyo upeo wako ulivyo mdogo! Punguza misokoto ya bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…