Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Ndipo nilipo amini uzi wake wa kwanza na huu wa pili#6,8,9,13&14 zimeshaanza kuwa unlocked.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo nilipo amini uzi wake wa kwanza na huu wa pili#6,8,9,13&14 zimeshaanza kuwa unlocked.
Kulikuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye maelezo ya wanasiasa wakati wa usitishaji wa mkataba wa awali.Mna maoni gani kuhusu bandari ya bagamoyo?
Ni aje hali ya uchumi kwa miaka hii miwili mitatu?Kulikuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye maelezo ya wanasiasa wakati wa usitishaji wa mkataba wa awali.
Kuna maeneo yanahitaji kufanyika negotiations ili terms ziwe bora zaidi kwa taifa letu. Hasa kwenye kuhakikisha kwamba hii bandari iwe kwa ajili ya transit cargo. Yaani mizigo inayopita hapo iwe ni ile tu inayokwenda nchi nyingine au inayotoka nchi nyingine na kwenda nje ya Tanzania.
Makubaliano yawe clear kwamba mizigo YOTE inayoishia Tanzania na ile inayotokea Tanzania itapitia bandari zetu zilizopo na sio hii ya Bagamoyo.
Mizigo ya SASA inayopita Tanzania kwenda nchi mbalimbali na ile inayotoka nchi mbalimbali kwenda mataifa mengine kupitia Tanzania iachwe kama sehemu ya ushindani.
Yaani iruhusiwe wateja kuchagua ipi itumike. Hii itaweka hamasa ya ushindani kwa bandari hizi ili kila moja iwe bunifu katika kutoa huduma bora. Hapa inaweza kuamuliwa kwamba tariffs zote ziwe sawa kwahiyo mteja achague upande wenye huduma bora.
Model ya uwekezaji ni nzuri maana inaondoa direct liability kwa taifa. Mwekezaji hapa analo jukumu la kuhakikisha analeta mzigo wa kutosha ili apate faida. Na kimsingi ni jambo la kushangaza sana kukataa uwekezaji wa USD 10B kwa nchi kama yetu. Inatakiwa kufanya professional negotiations ili kufanikisha uwekezaji.
Uendeshaji wa hii bandari LAZIMA uwe wa pamoja, kuanzia bodi na hata executive and non executive directors. Chombo kiundwe ambacho kitahakikisha portion ya tariffs kwa ajili ya Tanzania zinakusanywa kwa kila mzigo utakaopita hapo. Hii itaamuliwa lakini angalau 20 percent ibakie Tanzania. TRA inaweza kuunda department maalumu itakayokuwa hapo kwa ajili ya kazi ya kukusanya pato la serikali.
Huu mgawanyo au ule utakaoafikiwa na pande zote basi utahusisha maeneo yote ya mradi, yaani bandari, njia ya usafirishaji na kituo cha teknolojia.
Uwekezaji huu ni mkubwa hivyo itolewe hati moja ya miaka 33 na halafu baada ya hapo miaka mingine 33 ambapo serikali itamiliki asilimia 50 na mwekezaji asilimia 50. Baada ya miaka 66 mradi wote utakuwa mali ya Tanzania.
Hii ni general idea tu kwa yale yenye maslahi kwa taifa. Wataalamu wetu wa bandari, usafirishaji na kodi wanayofursa ya kuboresha zaidi.
Nashukuru sana kwa maelezo mazuri, kwa maelezo haya sidhani kama kuna Mtanzania anaweza kataa huu mradi.Kulikuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye maelezo ya wanasiasa wakati wa usitishaji wa mkataba wa awali.
Kuna maeneo yanahitaji kufanyika negotiations ili terms ziwe bora zaidi kwa taifa letu. Hasa kwenye kuhakikisha kwamba hii bandari iwe kwa ajili ya transit cargo. Yaani mizigo inayopita hapo iwe ni ile tu inayokwenda nchi nyingine au inayotoka nchi nyingine na kwenda nje ya Tanzania.
Makubaliano yawe clear kwamba mizigo YOTE inayoishia Tanzania na ile inayotokea Tanzania itapitia bandari zetu zilizopo na sio hii ya Bagamoyo.
Mizigo ya SASA inayopita Tanzania kwenda nchi mbalimbali na ile inayotoka nchi mbalimbali kwenda mataifa mengine kupitia Tanzania iachwe kama sehemu ya ushindani.
Yaani iruhusiwe wateja kuchagua ipi itumike. Hii itaweka hamasa ya ushindani kwa bandari hizi ili kila moja iwe bunifu katika kutoa huduma bora. Hapa inaweza kuamuliwa kwamba tariffs zote ziwe sawa kwahiyo mteja achague upande wenye huduma bora.
Model ya uwekezaji ni nzuri maana inaondoa direct liability kwa taifa. Mwekezaji hapa analo jukumu la kuhakikisha analeta mzigo wa kutosha ili apate faida. Na kimsingi ni jambo la kushangaza sana kukataa uwekezaji wa USD 10B kwa nchi kama yetu. Inatakiwa kufanya professional negotiations ili kufanikisha uwekezaji.
Uendeshaji wa hii bandari LAZIMA uwe wa pamoja, kuanzia bodi na hata executive and non executive directors. Chombo kiundwe ambacho kitahakikisha portion ya tariffs kwa ajili ya Tanzania zinakusanywa kwa kila mzigo utakaopita hapo. Hii itaamuliwa lakini angalau 20 percent ibakie Tanzania. TRA inaweza kuunda department maalumu itakayokuwa hapo kwa ajili ya kazi ya kukusanya pato la serikali.
Huu mgawanyo au ule utakaoafikiwa na pande zote basi utahusisha maeneo yote ya mradi, yaani bandari, njia ya usafirishaji na kituo cha teknolojia.
Uwekezaji huu ni mkubwa hivyo itolewe hati moja ya miaka 33 na halafu baada ya hapo miaka mingine 33 ambapo serikali itamiliki asilimia 50 na mwekezaji asilimia 50. Baada ya miaka 66 mradi wote utakuwa mali ya Tanzania.
Hii ni general idea tu kwa yale yenye maslahi kwa taifa. Wataalamu wetu wa bandari, usafirishaji na kodi wanayofursa ya kuboresha zaidi.
Heartlly sorry. Never meant to effend u. I thought i was joking.just offended by how intelligent you are.
Kwahyo mwendazake ndo aliwatuma wawe Wana dhulumu, kubaka na kulawiti mfano kwa sabaya, n why unasema wasilipizwe kisasi wakati wameumiza watu makusudi na nchi yetu Ina mahakama huru kabisa, usitake kutetea wahalifu in the name of kushinikizwa, huyo bashiru alichangia kuharibu uchaguzi nunua nunua ya wapinzani na kurudia uchaguzi huoni hyo ilikuwa matumizi mabaya ya Kodi na upumbavu wa kiwango Cha lami.Nashukuru sana kwa maelezo mazuri, kwa maelezo haya sidhani kama kuna Mtanzania anaweza kataa huu mradi.
Binafsi nawaomba mambo haya,
1. Haya maono yenu yasimamie, fanya mnavyoweza kuhakikisha wale waliokabidhiwa hili jukumu hawatoki nje ya mstari. Naumia nikiona tunawalaumu wawekezaji wakati ni sisi wenyewe tunafeli kwenye makubaliano.
2. Kama ilivyo kwenye namba moja, miradi mingine muhimu, kama wa gesi ya Mtwara itakuwa vizuri kuweka mkono wenu kwa maslahi ya taifa.
3. Rais mnampa uhuru sana, mwisho wa siku anaharibu na watendaji wake wa chini wote wanaonekana hawafai. Mambo mengine mpe kama maagizo, isiwe hiyari yake. Fanyeni kumpunguzia Rais madaraka wakati tukisubiri katiba mpya kama itakuwepo.
4. Ajenda za kitaifa mnazosimamia kwa nguvu zote zisiishie kwenye amani, uangalie uchumi, utamaduni nk. Ufanye urais taasisi na sio chombo cha mtu binafsi hivyo kumfanya ajiamulie anachotaka.
5. Mwisho lakini si kwa umuhimu wale watendaji waliokuwa chini ya JPM msiwalipize kisasi, wengi wao walikuwa wakifanya maamzi kwa kushinikizwa., na hiyo inatokana na mapungufu yaliyo katika katiba yetu. Najua sasa watakuwa wamejifunza. Watu km Polepole, Bashiru ambao ni kama wametolewa kwenye system naamini kuwa bado wana kitu cha kulifanyia taifa hili.
Wasalaam!
Una ushahidi wa Bashiru kununua wapinzani? Ye ndo alikuwa last say kwenye Chama? Bashiru/Polepole waliwahi kubaka na kulawiti?Kwahyo mwendazake ndo aliwatuma wawe Wana dhulumu, kubaka na kulawiti mfano kwa sabaya, n why unasema wasilipizwe kisasi wakati wameumiza watu makusudi na nchi yetu Ina mahakama huru kabisa, usitake kutetea wahalifu in the name of kushinikizwa, huyo bashiru alichangia kuharibu uchaguzi nunua nunua ya wapinzani na kurudia uchaguzi huoni hyo ilikuwa matumizi mabaya ya Kodi na upumbavu wa kiwango Cha lami.
Wahalifu wote washtakiwe bila kujali walitumwa au walijituma
Nimekusoma mkuuNashukuru sana kwa maelezo mazuri, kwa maelezo haya sidhani kama kuna Mtanzania anaweza kataa huu mradi.
Binafsi nawaomba mambo haya,
1. Haya maono yenu yasimamie, fanya mnavyoweza kuhakikisha wale waliokabidhiwa hili jukumu hawatoki nje ya mstari. Naumia nikiona tunawalaumu wawekezaji wakati ni sisi wenyewe tunafeli kwenye makubaliano.
2. Kama ilivyo kwenye namba moja, miradi mingine muhimu, kama wa gesi ya Mtwara itakuwa vizuri kuweka mkono wenu kwa maslahi ya taifa.
3. Rais mnampa uhuru sana, mwisho wa siku anaharibu na watendaji wake wa chini wote wanaonekana hawafai. Mambo mengine mpe kama maagizo, isiwe hiyari yake. Fanyeni kumpunguzia Rais madaraka wakati tukisubiri katiba mpya kama itakuwepo.
4. Ajenda za kitaifa mnazosimamia kwa nguvu zote zisiishie kwenye amani, uangalie uchumi, utamaduni nk. Ufanye urais taasisi na sio chombo cha mtu binafsi hivyo kumfanya ajiamulie anachotaka.
5. Mwisho lakini si kwa umuhimu wale watendaji waliokuwa chini ya JPM msiwalipize kisasi, wengi wao walikuwa wakifanya maamzi kwa kushinikizwa., na hiyo inatokana na mapungufu yaliyo katika katiba yetu. Najua sasa watakuwa wamejifunza. Watu km Polepole, Bashiru ambao ni kama wametolewa kwenye system naamini kuwa bado wana kitu cha kulifanyia taifa hili.
Wasalaam!
Hao bashiru, Pole Pole walichangia kubaka democrasia yetu Tena bashiru akakengeuka kabisa na kusahau misimamo yake akiwa chuoni, na Kuna siku alijiropokea wao Wana Dola kwanini washindwe kupata ushindi asilimia zote, huwezi kuwatoa hao wawili.Una ushahidi wa Bashiru kununua wapinzani? Ye ndo alikuwa last say kwenye Chama? Bashiru/Polepole waliwahi kubaka na kulawiti?
Sabaya, hata Makonda walikuwa na mambo yao binafsi ambayo Magu hakuwatuma, hao sheria ifuate mkondo wake.
Lakini kwa viongozi wengi ambao walitenda kwa kuagizwa sioni sababu ya kuwalaumu.
Hata kwenye ishue za Richmond, Epa, Escrow mtu pekee namlaumu ni JK.
Kwa katiba ilivyo walio chini ya Rais wao ni watekelezaji zaidi, maamzi yao binafsi hayana nguvu kabisa.
Mchawi wetu ni Katiba.
Huwezi kumhukumu Bashiru kwa maneno aliyoongea jukwaani. Ye alikuwa mwanasiasa, wanasiasa wanaongea chochote popote ilimradi kumtisha mpinzani wao.Hao bashiru, Pole Pole walichangia kubaka democrasia yetu Tena bashiru akakengeuka kabisa na kusahau misimamo yake akiwa chuoni, na Kuna siku alijiropokea wao Wana Dola kwanini washindwe kupata ushindi asilimia zote, huwezi kuwatoa hao wawili.
Na huyo makonda sabaya na wengineo walioharibu washtakiwe regardless walitumwa au walikuwa wanajipendekeza kwa mteuaji
I love how you can be so boringHeartlly sorry. Never meant to effend u. I thought i was joking.
[emoji23] bastard. Atleast u made me smile..I love how you can be so boring
Eti thestate, mkuu acha kutisha watuNimekusoma mkuu
Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.
Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.
Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.
Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.
Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.
Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.
Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.
Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.
Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Mama yupo tayari humuwewe andika ukijua anakusoma, au mpaka uambiweanatumia Jima gani hapa? Jamii forum ni jukwaa la wasiojulikana ambalo hushea taarifazenyeukweli kwa Jamii inayijulikana.Mawazo mazuri sana ikibidi mama aungwe humu JF
Sasa kama mnakubali masharti yalikuwa magumu, iweje mseme alipotosha? Kwamba ni miaka 100 ndio watupe bandari tena pale tu watakapoamua wao kama pesa yao imerudi, na akapendekeza miaka 33, sasa ni kimepotoshwa?Nashukuru sana kwa maelezo mazuri, kwa maelezo haya sidhani kama kuna Mtanzania anaweza kataa huu mradi.
Binafsi nawaomba mambo haya,
1. Haya maono yenu yasimamie, fanya mnavyoweza kuhakikisha wale waliokabidhiwa hili jukumu hawatoki nje ya mstari. Naumia nikiona tunawalaumu wawekezaji wakati ni sisi wenyewe tunafeli kwenye makubaliano.
2. Kama ilivyo kwenye namba moja, miradi mingine muhimu, kama wa gesi ya Mtwara itakuwa vizuri kuweka mkono wenu kwa maslahi ya taifa.
3. Rais mnampa uhuru sana, mwisho wa siku anaharibu na watendaji wake wa chini wote wanaonekana hawafai. Mambo mengine mpe kama maagizo, isiwe hiyari yake. Fanyeni kumpunguzia Rais madaraka wakati tukisubiri katiba mpya kama itakuwepo.
4. Ajenda za kitaifa mnazosimamia kwa nguvu zote zisiishie kwenye amani, uangalie uchumi, utamaduni nk. Ufanye urais taasisi na sio chombo cha mtu binafsi hivyo kumfanya ajiamulie anachotaka.
5. Mwisho lakini si kwa umuhimu wale watendaji waliokuwa chini ya JPM msiwalipize kisasi, wengi wao walikuwa wakifanya maamzi kwa kushinikizwa., na hiyo inatokana na mapungufu yaliyo katika katiba yetu. Najua sasa watakuwa wamejifunza. Watu km Polepole, Bashiru ambao ni kama wametolewa kwenye system naamini kuwa bado wana kitu cha kulifanyia taifa hili.
Wasalaam!
Mkuu nakuhakikishia, kama hawa ndio walipewa baraka wawe "King makers" basi tumeshapoteaSasa kama mnakubali masharti yalikuwa magumu, iweje mseme alipotosha? Kwamba ni miaka 100 ndio watupe bandari tena pale tu watakapoamua wao kama pesa yao imerudi, na akapendekeza miaka 33, sasa ni kimepotoshwa?
Hili suala la katiba tungekuwa tumeshalimaliza kitambo sana, je ni akina nani walimzuia JK?. Na msimamo wao kwa sasa ukoje?Nimekusoma mkuu