Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

1: Fufua uchumi imarisha vyanzo vya mapato
2:Ongeza msisitizo kwa watanzania juu ya umuhimu wa kuchapa kazi kukuza uchumi
3:Fungia kabisa shughuli za kisiasa ili watu wapate wasaa wa kufanya kazi.Siasa ziwe wakati wa kampeni tu
3:Jenga miundombinu mingi zaidi kwakuwa ndiyo uti wa mgongo katika kuinua uchumi
4:Tumbua na fuatilia kwa karibu kabisa utendaji wa wateule wako
5:Kipaumbele cha kwanza iwe kuinua uchumi watanzania tuondokane na mateso ya umasikini
6:Fungia vyombo vya habari vinavyoendekeza siasa
7:Funga viongozi wa upinzani wanaoenda kinyume na maazimio ya taifa kwani hawana tofauti na wauaji kwa kujaribu kuua na kutesa wananchi kwa umasikini
8:Fufua mashirika ya serikali yote ikiwezekana wale wanaobainika kuhujumu mashirika ya Umma adhabu iwe kifo
9:Swala la elimu iwe ni lazima ma iwe bure kabisa
10:Kila kijiji kiwe na shamba la kijiji litakalohudumiwa na wanakijiji
11:............
12............
Wewe ni kilaza upinzani wanaletaje umaskini, na hawana serikali
 
Bila katiba mpya kukurukakara zoote za maendeleo ya vitu siyo sustainable!. The only way ya kuguarantee maendeleo halisi ni kuwa na katiba nzuri
 
Siku ile nchi nzima walipotangaza kwamba mchwa wooooote wameuliwa na vichuguu vyao kubomolewa nilikuwa team Mzee ila kwa hilo I was against sio siri niliwaonea huruma sana walibaki kama watoto waliofungiwa nje na mvua ,baridi, radi zote nilikuwa zao hawakuwa na mtetezi maana kuna muhimimili ulishikiliwa na mkata vichuguu...ilitia huruma sana sana kwakweli ....mama amewafunika kwa shuka amewaingiza ndani bado kuvishwa mablankents heili to the Queen hatujafika ila walau....asikiaye na afahamu kwa tone dogo la amani aliloachia tusimsumbue sumbue.
 
Mpumbavu babu yako wa chatto, kama dhumuni tu lilikuwa maflyova akina nyerere walikuwa ni wapumbavu wa kutupwa kufanya harakati za kumuondoa mkoloni, make mkoloni angeyajenga nayo tangu mwaka70, nyie ndo yale mashenzi ambayo yako tayari mkewe afilwe kisa tu anayefila kaleta msaada wa chumvi nyumbani, oneni maza kaanza kujenga busisi na sgr mwz to isaka na hajateka wala kuua mpinzani wake kiitikadi.
Mabwawa ya maji yalijengwa kipindi cha awamu ya ngapi? Kwani yeye hakujua wakoloni wangeyajenga?
 
Mabwawa ya maji yalijengwa kipindi cha awamu ya ngapi? Kwani yeye hakujua wakoloni wangeyajenga?
Hivi unajua kuwa mkoloni kabla ya Uhuru alikuwa Ana surplus mpaka akawa anauza umeme Mombasa? Umeme huo alizalisha ktk maporomoko ya mto pangani nenda kagugo.
 
Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Natamani kuona haya yakitimia. Taifa hili lina kila kitu cha kulifanya kuwa superpower katika ukanda huu, utashi wa kisiasa unatukwamisha
 
Hivi unajua kuwa mkoloni kabla ya Uhuru alikuwa Ana surplus mpaka akawa anauza umeme Mombasa? Umeme huo alizalisha ktk maporomoko ya mto pangani nenda kagugo.
Kwamba waliyajenga hivyo tusijenge na sisi, tuwarudishe wakoloni watujengee? Au tunabishana nini hasa?
 
Kwamba waliyajenga hivyo tusijenge na sisi, tuwarudishe wakoloni watujengee? Au tunabishana nini hasa?
Ndo maana nakwaambia we ni mmoja wa wale washenzi, yaani mwendakuzimu kujenga flyova ndo iwe justification ya kuminya na kuua Uhuru wa asiokubaliana nao kiitikadi? Kama shida ilikuwa ni miundombinu akina nyerere waliondoa mkoloni wa nini? Mbona hata hao wakoloni waliunda miundombinu tofauti tofauti?
 
acheni kujifariji Samia huyu ni yule yule aliewafanyia mtimanyongo kwenye bunge la katiba.
Mlitaka Magufuli afe,lakini hamkujua Magufuli akifa mtafanya nini,matokeo yake ni haya mnajikuta mnasahau kwamba ccm bado wapo madarakani
Hapo kwenye...

Hamkujua Magu akifa mtafanya nini...

Mmh! Ngachoka!
 
Ndo maana nakwaambia we ni mmoja wa wale washenzi, yaani mwendakuzimu kujenga flyova ndo iwe justification ya kuminya na kuua Uhuru wa asiokubaliana nao kiitikadi? Kama shida ilikuwa ni miundombinu akina nyerere waliondoa mkoloni wa nini? Mbona hata hao wakoloni waliunda miundombinu tofauti tofauti?
Wapi nimesema kujenga flyover ndio justification ya kuua watu? Kila nchi ina Intelligensia yake, na kama mtu ni hatari kwa taifa kuna mechanism ya kumu-elliminate, hiyo ipo duniani kote, CIA wameua viongozi wangapi wa KiAfrika kisa tu wanatikisa maslahi yao? Sembuse kwa anaetutia mashakani na yupo nchini kwetu....,
 
Ikiwa sisi nasi tunaua kwa namna unayoongelea wewe basi hatutakuwa na tofauti na hao.. hatupo na hatuwezi kwenda level za kumfanyia mtu ubaya kwa namna ya mwilini.

Upande wa pili unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivyo.
Tuambie huo upande wa pili ni upo
 
Nimesoma mkuu hiyo post Magufuli alikuwa mgonjwa wa moyo zamani, na huyu alikuwa anafahamu. So obviously alikuwa na information za ndani juu ya Hali tete ya Rais alitumia kupredict his end.
Basi hukusoma kwa umakini
 
Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.

Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.

Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.

Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
Maono lazima yatimie vinginevyo siyo maono ni mpango mkakati
 
Back
Top Bottom