Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
KWA hio kumbe mlipoona aliypewa muda anachelewesha mchakato wa katiba ikawa too late kwake si NDIO?Ndio mkaja na Mpango wa FDR na miaka 12 hapa kwetu si ndio!!??naToo late ya aliyepewa Muda isiwe beyond Mwaka huu!!??Hapo swali FDR wetu ni nani!!??je ni katibu mkuu kiongozi wa mwenda zake!!??au katibu mwenezi wa chama wa Mwendazake!!??au mtamtafuta mnyenyekevu atakae fuata maelekezo yenu nyinyi popote pale hata kama ni mtumishi wa umma mzalendo asietia shaka!hata kama hana historia ndefu Sana ndani ya chama chochote kile?yaani hana mtandao KABISA!!!
 
Mtoto mnyenyekevu, mchapakazi, msikivu, mwenye hofu ya Mungu, asiye na makuu.......

Kakulia na kusomea kule kwenye Mapiramidi wakati babake akiwa Balozi huko.

Binafsi nampenda sana kwa haiba alonayo.
Natamani akuwe Rais wa JMT
 
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
The state bado naona kuna vitu hajatimiza..na kero za muungano zinazidi kuibuka mpya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Taarifa kamili! "nuru imeonekana na 'the State wamesema apewe muda."
 
Nimesoma mkuu hiyo post Magufuli alikuwa mgonjwa wa moyo zamani, na huyu alikuwa anafahamu. So obviously alikuwa na information za ndani juu ya Hali tete ya Rais alitumia kupredict his end.
nakubaliana n ww,huyu ni msaliti kma wasaliti wengine.alijua jp ni mgonjwa wa moyo,alikuwa na information zote tangu zamani,so akatumia hizo taarifa kujifanya katabr.pumbavu kabisa.watu Kama hawa hawatakiwi kupewa nafasi za juu serikalini,au kuwekwa karibu na viongozi wa juu wa nchi,NI hatari Sana kwa nchi!!

Ushauri. mama SSH ,huyu mtu anayejiita tumia akili ,kaa naye mbali Kama unamjua,na Kama humjui basi ,jitahidi umjue .....
 
Achaguzi urudiwe,ngoma iwekwe kati tuone CCM itakovyobuluza,tena mbuluzo wa haja kuzidi uliopita"kundanda ndeki"
Mrudisheni jpm na lissu uchaguzi urudiwe,hapo ndipo mtajua kumbe mlioko humu jf msiompenda jpm mko kiduchu tu,hata kwenye kikombe cha kahawa hamjai
 
Rejea mada yako hapo juu,

Pamoja na kuwa watu wanakuponda, lakini kama uliweza kuwa na macho yalioona yaliyofunikwa, basi huu si ushauri wa kupuuzia,

Yanayowezekana yafanyike, yasiyowezekana yaachwe.

Tumia akili Endeleza kipawa chako, nduguzo wanakihitaji
Akili yako ndogo tu hana kipawa chochote
 
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Chanzo au source!??
 
nakubaliana n ww,huyu ni msaliti kma wasaliti wengine.alijua jp ni mgonjwa wa moyo,alikuwa na information zote tangu zamani,so akatumia hizo taarifa kujifanya katabr.pumbavu kabisa.watu Kama hawa hawatakiwi kupewa nafasi za juu serikalini,au kuwekwa karibu na viongozi wa juu wa nchi,NI hatari Sana kwa nchi!!

Ushauri. mama SSH ,huyu mtu anayejiita tumia akili ,kaa naye mbali Kama unamjua,na Kama humjui basi ,jitahidi umjue .....
Kwani uo uzi aliandika lini mkuu? Yani ajue mtu huyu atafariki miezi kumi mbele? Serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrudisheni jpm na lissu uchaguzi urudiwe,hapo ndipo mtajua kumbe mlioko humu jf msiompenda jpm mko kiduchu tu,hata kwenye kikombe cha kahawa hamjai
Utampenda huyo JPM wako kwa kipi hasa ndugu? unless na wewe unapenda mtu with no reason kama mwanamke.
 
Na huyu aliepo mlimpa mapendekezo 18 hakusikiliza wala kuyafanyia kazi sasa nae aondoke aache kiti kistaarabu tu bila maumivu!au sio???
Na ndivyo mtu mwenye msimamo anatakiwa kuwa sio kuendeshwa kwa remote.Hakuna kitu rahisi
 
Back
Top Bottom