Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Kulikuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye maelezo ya wanasiasa wakati wa usitishaji wa mkataba wa awali.

Kuna maeneo yanahitaji kufanyika negotiations ili terms ziwe bora zaidi kwa taifa letu. Hasa kwenye kuhakikisha kwamba hii bandari iwe kwa ajili ya transit cargo. Yaani mizigo inayopita hapo iwe ni ile tu inayokwenda nchi nyingine au inayotoka nchi nyingine na kwenda nje ya Tanzania.

Makubaliano yawe clear kwamba mizigo YOTE inayoishia Tanzania na ile inayotokea Tanzania itapitia bandari zetu zilizopo na sio hii ya Bagamoyo.

Mizigo ya SASA inayopita Tanzania kwenda nchi mbalimbali na ile inayotoka nchi mbalimbali kwenda mataifa mengine kupitia Tanzania iachwe kama sehemu ya ushindani.

Yaani iruhusiwe wateja kuchagua ipi itumike. Hii itaweka hamasa ya ushindani kwa bandari hizi ili kila moja iwe bunifu katika kutoa huduma bora. Hapa inaweza kuamuliwa kwamba tariffs zote ziwe sawa kwahiyo mteja achague upande wenye huduma bora.

Model ya uwekezaji ni nzuri maana inaondoa direct liability kwa taifa. Mwekezaji hapa analo jukumu la kuhakikisha analeta mzigo wa kutosha ili apate faida. Na kimsingi ni jambo la kushangaza sana kukataa uwekezaji wa USD 10B kwa nchi kama yetu. Inatakiwa kufanya professional negotiations ili kufanikisha uwekezaji.

Uendeshaji wa hii bandari LAZIMA uwe wa pamoja, kuanzia bodi na hata executive and non executive directors. Chombo kiundwe ambacho kitahakikisha portion ya tariffs kwa ajili ya Tanzania zinakusanywa kwa kila mzigo utakaopita hapo. Hii itaamuliwa lakini angalau 20 percent ibakie Tanzania. TRA inaweza kuunda department maalumu itakayokuwa hapo kwa ajili ya kazi ya kukusanya pato la serikali.

Huu mgawanyo au ule utakaoafikiwa na pande zote basi utahusisha maeneo yote ya mradi, yaani bandari, njia ya usafirishaji na kituo cha teknolojia.

Uwekezaji huu ni mkubwa hivyo itolewe hati moja ya miaka 33 na halafu baada ya hapo miaka mingine 33 ambapo serikali itamiliki asilimia 50 na mwekezaji asilimia 50. Baada ya miaka 66 mradi wote utakuwa mali ya Tanzania.

Hii ni general idea tu kwa yale yenye maslahi kwa taifa. Wataalamu wetu wa bandari, usafirishaji na kodi wanayofursa ya kuboresha zaidi.
Kiti kamsaliti Jini?
 
Ikiwa sisi nasi tunaua kwa namna unayoongelea wewe basi hatutakuwa na tofauti na hao.. hatupo na hatuwezi kwenda level za kumfanyia mtu ubaya kwa namna ya mwilini.

Upande wa pili unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivyo.
Exactly
 
3.Mchakato wa katiba mpya utaanza 2022 na watakao pinga wataondolewa kimya kimya!!!
4.Katiba mpya itakamilika na kuwa rasmi kuanzia 2023 kuendelea na uchaguzi wa 2025 utafanywa kwa katiba mpya!!!
5.Inawezekana 2025 chama cha upinzani kikatwaa nchi kwa mfumo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!!
Hii jigsaw puzzle hawaichezeshwi hivyo sahau
 
Halafu mkuu taarifa unayopata wewe kwenye media siku ya leo basi mara nyingi inakuwa mezani kwetu karibu wiki nzima kabla.

Mfano maamuzi ya leo wewe unaona yametolewa pale wakati anaongea live? Kama hivi ndivyo unafikiri basi, 'karibu upande wa pili'.
Nimekuelewa....

Ikiwa sisi nasi tunaua kwa namna unayoongelea wewe basi hatutakuwa na tofauti na hao.. hatupo na hatuwezi kwenda level za kumfanyia mtu ubaya kwa namna ya mwilini.

Upande wa pili👉 unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivyo.

We're everywhere!
Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.

'Upande wa Pili' 👉Code unlocked

'theState' ina wajibu juu ya taifa tu. Haina 'feelings' towards or against any individual. We are only loyal to the nation.

Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata 👉pale 'stpeters'.
👇
Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja.
Hawa 'theState' 👉wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.
Kwa miaka mingi 'stpeters' 👉pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.
Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya 👉pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa 👉pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.
Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.

St Petersburg, Russia
The 'United' States 'of America', USA
 
Ukichaa,kahyo ndege hyo itazidi ndege za mashirika kongwe kama Ethiopie airlines, Tunis air, Égypte air,au south African Airlines ?
 
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Sasa mama hapo kwenye namba 9 si ndio umewachefua kabisa!!?

Yaani badala ya kuwashughulikia wewe ndio unawateua kwenye.chama au!!?

Aiseh ngoja tuone!!!
 
Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Hii comment inapaswa ibandikwe pale Lumumba aiseh!

"Conservative watashughulikiwa kimya kimya" RIP Mr Mango

"Mpaka muda huu hakuna vitendo vya kulipiza visasiwatu wamepewa na kubadilishwa vitengo"Dr. Kakurwa!

Pale st. Peters!!!?

Sawa!!
 
Nimekusoma mkuu

Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.

Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.

Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.

Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.

Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.

Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.

Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.

Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.

Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Asante.kwa Maelezo murua kabisa!!

Lakini hiyo" Beyond mwakani" ambayo ni mwaka jana imepitiliza Hadi Sasa tunaelekea December ya 2023!

Kuna hii tetesi ya kulazwa namba mbili huko america.je. ndio mpango wenyewe au ni kawaida mja kupitishwa kwenye vi homa homa kidogo kama ilivyo desturi ya viumbe!!

Inaonekana mmechelewa sana mkuu Kuna tatizo labda!!?
 
Ikiwa sisi nasi tunaua kwa namna unayoongelea wewe basi hatutakuwa na tofauti na hao.. hatupo na hatuwezi kwenda level za kumfanyia mtu ubaya kwa namna ya mwilini.

Upande wa pili unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivi
Aroooo
 
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Mmeishia wapi na hizi mbanga zenu mpaka Sasa?
Maslahi yenu kisiasa sio maslahi ya taifa kamwe wapuuzi wahed nyie
 
Jambo unalopaswa kujua ni kwamba 'hatma' ipo kwenye ule ujumbe wa rais ambaye hajawahi kugombea ila fursa ya 'neema' inaachiliwa kufanya remedy.

Hakuna maono ambayo hayapo subject to changes. Ikiwa tu zile condition zilizopelekea maono zitabadilika basi maono pia yaweza kubadilika.

Madam president kaonesha tofauti na hapa anapatiwa nafasi ya kufanya namna inayobadilisha maono.

Asipofanya ile dhamira ya awali inakuwa na uhalali kuendelea.
Naona wabunge wasio takiwa Bungeni wameshinda kesi!!he maono ya awali yanarudi!!?

Tunasubiri!
 
Back
Top Bottom