Taarifa Muhimu Jihadhari Usitumie Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa Juani Hauna Manufaa Kiafya

Taarifa Muhimu Jihadhari Usitumie Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa Juani Hauna Manufaa Kiafya

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na bei zake utabaini ukweli. Wajuani hauna ukijani halisi wala harufu halisi na huwa una rangi nyeupe nyeupe kama unga. Wengi huwa wanaangalia faida hivyo huvuna kwa wingi sana na kuanika Juani siku moja kisha husaga kwenye mashine. Ukitumia huo hakuna manufaa Kiafya Aksanteni sana wadau na muwe na siku njema
 
Huu utafiti umefanya ukiwa Nantumbo ?
 
Kijani kibichi kabisa na una harufu nzito nzuri ya Asili Ukiwa kwenye mfuko unaudgungua utakutana na harufu hiyo nzuri ya Asili a
Mtaalamu nipe uchambuzi wa kitaalamu.

Mimi niliwahi kuwa na wa kijani ulikaa ndani siku kadhaa niliuhifadhi sehemu nzuri ila nimekuta umebadilika kutoka katika ukijani kuwa kawaida vipi hapo imekaaje ?
 
Tujulishe utofauti wa rangi kati ya wa juani na wa ndani ili tusiingizwe chaka mkuu
Screenshot_20260129_210457_Facebook.jpg
 
Mkuu umekurupuka sana,Nina miaka 8 sasa natumia unga wa mlonge kwangu Mimi na familia yangu,na Huwa nachuma majani na kuanika juani.

Mimi natumia unga huu ulioanikwa juani kutibu malaria kwa wanafamilia wangu,kwa unga huo wa mlonge ulioanikwa juani , malaria Huwa inapona kwa siku tatu tu.

Sasa wewe unaposema huo unga wa kuanikwa juani haufai ni kivipi labda!?
 
Back
Top Bottom