Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Kijani kibichi kabisa na una harufu nzito nzuri ya Asili Ukiwa kwenye mfuko unaudgungua utakutana na harufu hiyo nzuri ya Asili aTujulishe utofauti wa rangi kati ya wa juani na wa ndani ili tusiingizwe chaka mkuu
Huu utafiti umefanya ukiwa Nantumbo ?Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na bei zake utabaini ukweli. Wajuani hauna ukijani halisi wala harufu halisi na huwa una rangi nyeupe nyeupe kama unga. Wengi huwa wanaangalia faida hivyo huvuna kwa wingi sana na kuanika Juani siku moja kisha husaga kwenye mashine. Ukitumia huo hakuna manufaa Kiafya Aksanteni sana wadau na muwe na siku njema
Mtaalamu nipe uchambuzi wa kitaalamu.Kijani kibichi kabisa na una harufu nzito nzuri ya Asili Ukiwa kwenye mfuko unaudgungua utakutana na harufu hiyo nzuri ya Asili a
Tujulishe utofauti wa rangi kati ya wa juani na wa ndani ili tusiingizwe chaka mkuu