TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni.
Mpaka sasa mwili bado upo Tumbi hospitali mpaka ndugu zake wapatikane.
Hivyo watu wa ARUSHA mliopo humu jamvini sambazeni taarifa hii na picha ya ndugu yenu huyo ili ndugu zake wapatikane.
Hadi sasa anahitaji asitiliwe na serikali imetoa siku 7 ili watafutwe ndugu zake na wasipo patikana watamzika serikali.
NB. Pole kwa bodaboda waliokuwa rafiki wa kijana Kelvin.
=====
UPDATE
Ndugu zake walishapatikana kutoka group za Whatsapp.