Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Shalom
1. Prep nini? Ni dawa ya kutumia ili kujikinga na ma'am ukizingatia ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao bado hawajaambukizwa na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu.
2. Nani wanufaika wa prep? Prep inapaswa kutumiwa na watu ambao hawajaambukizwa vvu na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu.
3. Je, nitajuaje iwapo nipo kwenye hatari ya kuambukizwa vvu na ninastahili kutumia prep? Wakuu iwapo utakuwa na jibu la ndio kwa swali lolote kati ya haya yafuatayo upo hatarini na unaweza kuanzishiwq prep kama njia moja wapo ya kujikinga na vvu.
4. Je, mama mjamzito anaruhusiwa kutumia prep? Jibu ni ndiyo! Mama mjamzito anaruhusiwa kutumia prep.na endapo mama hana vvu na mwenza wake ana vvu na wanahitqji kupata mtoto,mama anashauriwa kutumia prep.
5. Je,ninawezaje kuanza kutumia prep? Ongea na mtoa huduma za afya ili kujua iwapo unakidhi vigezo vya kutumia prep.Mtoa huduma za afya yupi kwa ajili ya kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kulingana na mahitaji yako. N
6. Je, ninawezaje kuanza kutumia prep kwa usahihi?
# prep- ni dawa ya kutumia ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao hawajaamukizwa na wako katika zaidi ya kuambukizwa vvu vp kuhusu ARV? ARV ni dawa inayotumiwa na watu ambao wamegundulika kuwa na vvu ili kupunguza makali na uwingi wa vvu mwilini.
Tutaendelea stay turned# ukimwi ni hatari tujiikinge na tuwakinge tuwapendao. Dr. Vita boy MD public health specialist specialist

- Je, unashiriki ngono bila kutumia kondomu na mwenzi au wenzi ambao hawajui hali zao za vvu?
- Je, uliwahi kupata ugonjwa wa ngono ndani ya miezi 12 iliopita?
- Je, uko kwenye uhusiano na mwenzi mwenye maambukizi ya vvu?
- Je, huwa unashindwa kumshawishi mwenzi wako kutumia kondomu na haujui hali yake ya vvu? *Je, unajidunga dawa za kulevya kwa kuchangia sindano?
- Je, una historia ya kufanya ngono ukiwa umelewa?
- Je, umetumia prep zaidi ya mara moja ndani ya miezi 12 iliopita?
4. Je, mama mjamzito anaruhusiwa kutumia prep? Jibu ni ndiyo! Mama mjamzito anaruhusiwa kutumia prep.na endapo mama hana vvu na mwenza wake ana vvu na wanahitqji kupata mtoto,mama anashauriwa kutumia prep.
5. Je,ninawezaje kuanza kutumia prep? Ongea na mtoa huduma za afya ili kujua iwapo unakidhi vigezo vya kutumia prep.Mtoa huduma za afya yupi kwa ajili ya kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kulingana na mahitaji yako. N
6. Je, ninawezaje kuanza kutumia prep kwa usahihi?
- Inashauriwa unywe kudonge kimoja kila siku kwa kipindi chose utapokuwa kwenye hatari ya kupata maambukizi ya vvu.
- Tumia kila siku kwa kuzingatia muda maalumu uliojipangia.chagua muda muafaka kwako. * Tumia kidonge kimoja tu kwa siku.
- Kama ni mara yako ya kwanza kutumia prep itachukua muda wa siku saba ili dawa iweze fanya kazi. * usichangie sawa zako na mtu mwingine.
- Pima vvu kabla ya kuanza kutumia prep iwapo umeambukizwa itasaidia kuanza kutumia ARV kulinda afya yako prep ni kwa ajili ya watu ambao hawajaambukizwa vvu.
- Kama umesahau kumeza kidonge cha prep kwa siku moja,meza kimoja mara unapokumbuka ja endelea siku inayofuata kwa kufuata ratbag ya prep.
- Kuna tofauto yq prep na ARV?