Uuuwiiiii Uuuwiiiii Uuuwiiiii Uuuwiiiii Uuuwiiiii Uuuwiiiii Leo ntakojoa kitandan Njoo hapa shekilango bana ntalipia uber Chukua
Hapana mkuu ameniambia ana papa Mwenyewe Kwel Nipo hapa shekilango Tafadhali naomben msaada
[emoji39][emoji39][emoji39]sema ndizi zimekonda.kama hiki!?.
View attachment 850684
Jamaa mgomvi sanaHapana mkuu ameniambia ana papa Mwenyewe Kwel Nipo hapa shekilango Tafadhali naomben msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nmekula Kitimoto na bia Mi na njaa ya nyapu tuunakuletea msosi mwingine soon!..vumilia
Baadhi ya watanzania wamejua kuzisoma namba hawajapata na supp!..Baadhi ya watanzania sasa hivi hawana habari na kusaka senti. Wanaleta mambo ya hovyo hovyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji gani hicho? Tukutane sehemu ganiKesho tukutane sasa nishajua kinywaji chako kikufaacho!..
Tule tudogo twa kijani eti tuzurii kweli ,siku nyingine sie tunakunywa castle lager mmoja akiona mwenzie anakunywa hiki na mwingine anataka hicho hicho[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe ya starehe mwanaume ndovu!..sasa unakunywa lite kama Mama Sabrina mkuu!...UnlessSerengeti Lite nainywa siku ambayo sitaki kunywa pombe.
Hapana situmii pombe.Gordons... Your selection, my treaty!..
mmhh sabby hadi Lager!!?.. usikute lile tarumbeta kubwa!!.. nanyoosha mikono juu!.[emoji2]Tule tudogo twa kijani eti tuzurii kweli ,siku nyingine sie tunakunywa castle lager mmoja akiona mwenzie anakunywa hiki na mwingine anataka hicho hicho[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app