Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Hahaha wewe ndio unajiokotea tu wanaokubambia club
Hua nakaa kwenye lile sofa tu, hata kucheza sijui!.. Umesahau unavyokujaga nishtua tuondoke nikilewa!
 
Na ninavyoupenda sasa na ndizi
Tanga mmeanza lini kupenda ndizi!?.. me napenda ile Samaki yako unavyoipika, kuna yule jamaa akaniuliza "hivi Shunie hakuipika 'kapanua' kweli!?" nikamuuliza 'kapanua nini?' akasema basi!..
Eti ndio unapikaje 'umepanua'!?..
 
Hakuna tabu Bebe nilimiss uwepo wako
Tamba mama yeyote akileta sumbufu niite anko kaanza kutusikiza siku hizi ntakuja funga JF mtu akikusumbua!..
 
Tanga mmeanza lini kupenda ndizi!?.. me napenda ile Samaki yako unavyoipika, kuna yule jamaa akaniuliza "hivi Shunie hakuipika 'kapanua' kweli!?" nikamuuliza 'kapanua nini?' akasema basi!..
Eti ndio unapikaje 'umepanua'!?..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe akili zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hua nakaa kwenye lile sofa tu, hata kucheza sijui!.. Umesahau unavyokujaga nishtua tuondoke nikilewa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe akili zako
Kure porini akati nakati 'mkono wa sweta' niliambiwa bebe ako akiwa happy muda ote, manyang'au hayapati chance!😀..
 
Unakosa protein nyingi sana!.. Unajua ulaji soseji unaongeza furaha 🙂😉
Nitapata proteins kwenye maziwa, samaki, kuku, kitimoto, mayai etc. So sausage ikae mbali nami[emoji4][emoji4]
 
Nitapata proteins kwenye maziwa, samaki, kuku, kitimoto, mayai etc. So sausage ikae mbali nami[emoji4][emoji4]
ushawahi kula za asili?.. zile homemade!?.. Nikiwa happy natengeneza grade A🙂
 
Back
Top Bottom