Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Na ninavyoupenda sasa na ndiziOle wako uje pika utumbo utakula sufuria nzima mwenyewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ninavyoupenda sasa na ndiziOle wako uje pika utumbo utakula sufuria nzima mwenyewe!!
Popote alipo Eva, nyuma yake Adam hakosi!.. Nini tabu mama!??..
bebe kuna picha sikutaka uzione nikablock.. ngoja nikuunblock labda nilisahau tu!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe akili zakoTanga mmeanza lini kupenda ndizi!?.. me napenda ile Samaki yako unavyoipika, kuna yule jamaa akaniuliza "hivi Shunie hakuipika 'kapanua' kweli!?" nikamuuliza 'kapanua nini?' akasema basi!..
Eti ndio unapikaje 'umepanua'!?..
Hua nakaa kwenye lile sofa tu, hata kucheza sijui!.. Umesahau unavyokujaga nishtua tuondoke nikilewa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me napenda unavyocheka na aibu zako ukilewa!..
[emoji23][emoji23] Sema kweli babeKure porini akati nakati 'mkono wa sweta' niliambiwa bebe ako akiwa happy muda ote, manyang'au hayapati chance!😀..
Kweli tayariTayari hebu angalia tena!..
Nitapata proteins kwenye maziwa, samaki, kuku, kitimoto, mayai etc. So sausage ikae mbali nami[emoji4][emoji4]Unakosa protein nyingi sana!.. Unajua ulaji soseji unaongeza furaha 🙂😉
Zile situmii. Daktari alinikatazaushawahi kula za asili?.. zile homemade!?.. Nikiwa happy natengeneza grade A🙂