Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa

Usisahau kumtaarifu mwenzako

Tuna Jambo Letu
 

Attachments

  • FB_IMG_16083694898685778.jpg
    FB_IMG_16083694898685778.jpg
    23.5 KB · Views: 2
Nisikose kumuangalia Humphrey Polepole??!!...Channel 10??
 
Amekuwa mtangazaji wa Chanel 10 siku hizi?
 
Ataongea kama Mbunge au Kama Mwenezi wa Chama?
 
Ilitatuliwa kwa kupiga chini the likes of Chenge, Kapuya etc na kukirudisha chama kwa wanachama. Yamepita mengi wakati akitoa kauli hiyo na sasa.
Halafu uchaguzi ukawa huru na haki ?
 
Kanarada ni mbunge wa Jimbo lipi kati ya yale 264?
 
Muwe mnaleta mambo ya maana basi. Yaani watu wapoteze muda kumsikikiza Polepole?
 
safi sana ccm kwa kuwa karibu na wananchi. kama kweli changamoto zitatatiliwa basi mtatusaidia sana
 
Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa

Usisahau kumtaarifu mwenzako

Tuna Jambo Letu
Hamna mwizi wa kura anaweza kutatua matatizo ya wananchi. Acheni kiki za kishamba. Wanafunzi 74,000 hawana madarasa mnasubiri simu mfanye siasa nyepesi!
 
Leo kuna mkurugenzi namtemesha kibarua wallah..yani lazima nimuumbue kwa taifa.
Nasema hivi leo mkurugenzi jiandae kujibu ujinga wako
 
hapo awali sikuwa namjua kiviileee.....ila baaada ya kuingia ndani ya chama cha CCM ndipo nilipo mjua vizuri zaidi na uwezo wake wa kujenga hoja na kupangua hoja ni mtu hatari sana ni kifaa cha kimataifa hiki. Hongera sana kwake. nitamsikiliza kwani huwa napata kujifunza mengi kupitia mazungumzo yake.
 
Back
Top Bottom