Hamna mwizi wa kura anaweza kutatua matatizo ya wananchi. Acheni kiki za kishamba. Wanafunzi 74,000 hawana madarasa mnasubiri simu mfanye siasa nyepesi!
Hapo ndipo huwa unaonekana ni mropokaji na muongea pumba. Hivi kero za wananchi huwa zinatatuliwa vipi kama sio kwa kuwasikiliza? Simu ni njia ya mawasiliano au ulitaka azunguke mikoa 25 kwa mkupuo. Wanafunzi 74,000 hawana madarasa wapi?