Erickford4
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,133
- 1,098
what is this?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what is this?
Kokopelli canon singing for the sunsetwhat is this?
Kumbuka walio kukera wewe wamefurahisha wengine!Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa. Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK
Kuwa wazalendo inamaanisha wawe walamba viatu kama wewe? Go to hell manWadau