Taarifa njema ya kuanza kunyesha mvua muda huu Maeneo ya Mbezi Beach

Taarifa njema ya kuanza kunyesha mvua muda huu Maeneo ya Mbezi Beach

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Muda huu ni majira ya saa 8:33 usiku

Manyunyu yameanza kudondoka taratibu

Hali ya hewa imeanza kupoa taratibu kidogo

Tunasema kuwa Mungu ni Mungu kwani amesikia maombi yetu

Tupeni taarifa za maeneo mnayoishi hali ikoje

Aksanteni
 
Inyeshe tu maana!

Kama mkoani tu ni hivi vipi hapo dasalamu joto itakuwaje
 
BBC weather inaonesha mvua itanyesha ijumaa, na mvua ita nyesha jumapili, kisha wiki ijayo itanyesha kuanzia jumanne halafu wiki nzima yote, vuli imefika, Wale wa mabondeni waanze umakini
 
Nipo mitaa ya kimara huku nasikia harufu kama ya mishikaki inachomwa kila upepo unapovuma nikahisi itakuwa mvua mliopo pembezoni mwa bahari kwetu mawingu yanazunguka tu.
 
Nimeota kuwa dar es salam mzima watu wame kufa na baridi kali Poleni ndugu na jamaa ambao wamepoteza ndugu zao
 
Back
Top Bottom