Taarifa njema ya kuanza kunyesha mvua muda huu Maeneo ya Mbezi Beach

Taarifa njema ya kuanza kunyesha mvua muda huu Maeneo ya Mbezi Beach

Muda huu ni majira ya saa 8:33 usiku

Manyunyu yameanza kudondoka taratibu

Hali ya hewa imeanza kupoa taratibu kidogo

Tunasema kuwa Mungu ni Mungu kwani amesikia maombi yetu

Tupeni taarifa za maeneo mnayoishi hali ikoje

Aksanteni
BINADAMU HATOSHEKI! MLIKUWA MNAOMBA JOTO NA JUA KALI ILI UVIKO 19 ITOWEKE SASA UVIKO IMESEPA MNALIA LIA TENA.
 
Back
Top Bottom