Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sipo mbali na ww joto kali sana tumelala njeMuda huu saa 8:33 usiku
Manyunyu yameanza kudondoka
Mungu Ni mungu amesikia maombi yetu
Tupeni Taarifa za maeneo mengiMe
Sipo mbali sana na wewe mvua nikubwa sana, tumelala ndaniSipo mbali na ww joto kali sana tumelala nje
Kesho hakutakuwa na wa maji na umemeSipo mbali sana na wewe mvua nikubwa sana, tumelala ndani
dahSipo mbali na ww joto kali sana tumelala nje
Nipo Dar hivi sasa ni saa 3 asubuhi,karibu chai mkuuNipo Rio, Brazil, huku kuna baridi sana, huko kwenu saa ngapi mida hii?
Mliomba mvua mmepata manyunyuMuda huu saa 8:33 usiku
Manyunyu yameanza kudondoka
Mungu Ni mungu amesikia maombi yetu
Tupeni taarifa za maeneo mnayoishi
Aksanteni
Nasikia huko mikoani mifugo inakufa Sanaa kwa ukameInyeshe tu maana...!
Kama mkoani tu ni hivi vipi hapo dasalamu joto itakuwaje
Hali Tete Sana Kama Mji Wa Homes Syrianasikia huko mikoani mifugo inakufa Sanaa kwa ukame
Kila mtu anayo umuhimu nayo wengine wanatamani jua liendelee Ili wasikwame shughuli zaoInyeshe tu maana!
Kama mkoani tu ni hivi vipi hapo dasalamu joto itakuwaje