Taarifa sahihi kuhusu uvumi unaoendelea kuhusu Bodi ya Mikopo

Taarifa sahihi kuhusu uvumi unaoendelea kuhusu Bodi ya Mikopo

Gratius d4m9

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
62
Reaction score
24
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa nahitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari wameshahakiki taarifa zao wanapaswakurejea kujaza upya ama kuhakiki iwapo taarifa zao zipo mtandaoni.
Bodi inatumia fursa hii kuwajulisha Wanafunzi husika, Vyuo vya Elimu ya Juu na Umma kwa ujumla kuwa taarifa za Wanafunzihao zilizopokelewa ziko salama na hawapaswi kujaza tena na hivyo taarifa hizo za uvumi zipuuzwe.
 
is it true? kwa sabab kuna mtu ameniambia mwisho ni kesho ku-update.
 
Back
Top Bottom