Habari Kaka mkubwa ,heshima kubwa kwako .
Mimi nina Jambo nataka kuongea na wewe alafu nitakuwa na mda siku ya sikukuu ,naomba nikubalie siku hiyo nije kwako tuzungumze maana hili Jambo linanitatiza Sana .
Ila naomba ukubali kunisikiliza Ila nyumbani kwako