Mwafrika wa Kike,
Kila kitu kinahitaji organisation fulani. Hakuna jumuiya yoyote ya kisiasa ama kijamii ambayo ilikuwa tayari kuandaa maandamano haya kwa sababu ambazo siwezi kuzifahamu. Hii ikiwa ni pamoja na Bakwata ama toka dini dhehebu jingine. Hawa viongozi wa dini ktk msikiti huo ambao huwezi sema waislaam wote kama wanavyotaka tuamini kwani wana dhehebu lao na msikiti ndipo hoja ilipoanzia. Kama vile Mtikila akiongoza maandamano toka kanisani kwake hivi kweli nitashindwa kwenda kwa sababu ni mkristu?....
Hawa watu ndio pekee wanaume waliojijenga wakasema ni lazima tumwonyesha Bush kuwa hatukubaliani na siasa zake. Sasa swala la kuandaman halina mitulinga huwezi kuvuta watu kwa nguvu, hili huwa ni swala la jumuiya fulani inayo organise kisha hupatikana watu ku support na kuomba kibali kisheria. Yote haya yalifanyika wadanganyika wakijua wazi kwa nini wao wasisimame na kusema noo wazo lenu zuri lakini let us organise nje ya msikiti!
Tatizo la Bongo maadam swala hili lilikuwa raised na waislaam basi pale tayari kulikuwa na Mgawanyiko. Na wengine baadhi viongozi waislaam kwa sababu hawakubaliani na maono hayo walikuwa against, hivyo basi tusijenge hoja ya kusema waislaam. No ni baadhi ya watu ambao kwa kutumia jumuiya yao wamejenga hoja wakaiwakilisha ktk vyombo vya Usalama na wakakubaliwa kuandamana. Taarifa zilipelekwa ktk vyombo vya habari kutaka watu washiriki lakini ndio hivyo wachache walijitokeza kama ile issue ya vyama vya Upinzani kuungana na kufanya maandamano ya pomja ambayo hayakuhudhuliwa na Wadanganyika wengi. Reason being hawa waliwaona wachawi tu, lakini sio siku aliyopokelewa Zitto baada ya mtu huyo kujitoa Mhanga.
We always wait for someone kujitoa mhanga kisha tukiona mambo salama basi ndio tunakimbilia kupongeza..Hata mwalimu Nyerere alipata taabu sana tena basi kwa habari nilizozisikia kuna watu waliokuwa wakitoa taarifa za Nyerere na wanamapinduzi wa Tanu ktk kila walichokuwa wakikifanya. Ilibidi mikutano yao iwe ya siri na hata malazi yao yalikuwa siri kubwa.. Mbona watu hatukujiuliza kwa nini lisiwe Uhuru wetu ni swala la Taifa zima na sio TANU peke yake..
Hii ndio problem kubwa ya Wadanganyika dada yangu nadhani hata hapo Marekani utaona wadanganyika wapo radhi kwenda kunywa ama kula ktk Bar ya Mkenya ama Mpopo (Nigeria) lakini sio ya Mbongo na sababu ni tofauti fulani ya Utanzania wake..Hata jumuiya zetu zimekuwa na utata huo huo kwa sababu tunatazama zaidi ni mtu gani ameandaa jumuiya hiyo, na mara zote huwa tunawababaikia matapeli, mafisadi watu kama kina Mkapa, Yona, Lowassa, Karamagi, Mama Meghiji na sio kina Malecela, Warioba, Salim ambao hawakuweza kuiba. If they can't steal then how can they lead us?...
Taifa la Amani na Utulivu..