Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH


Suala kama utu wa mtu kabla ya dini yao. vipi unawahukumu waislam wa Tanzania kwa kuandamana badala ya kutiza utu wa maelfu ya Wairaq wanaoteseka? ni Mungu gani unayemuabudu anayekufundisha kutokuwa na huruma na viumbe wenzio? Bwana Yesu (Issa bin Maryam) ninayemjua mimi hakuwa na roho mbaya kama zenu.
 

Mimi nawewe naona tuko mbali kabisa katika mtizamo so ni bora mimi nishuke chini ili wewe upae kabla ya kuanza kunipa majina mengine zaidi ya hili la Mwanakijiji.

Ungekuwa marekani na chuoni kwangu ninakosoma ungeona jinsi wanafunzi hapa wanavyoandamana kila siku kupinga vita dhidi ya Iraq bila kujali dini au imani zao. Watu hapa tunaandamana kama binadamu kwanza kabla ya kuchukua labelz za uislam au ukristo.

Katika hili, chukua ushindi mkuu maana mimi mambo ya dini sina uzoefu nayo na kwa kweli mimi naona waarabu kama watu waliofanya biashara ya utumwa na wazungu kama watu waliofanya ukoloni huku wakijidai kuleta uislam na ukristo Afrika.

Mkandara...

Mimi si mtaalamu wa dini za kigeni hizi so labda uendelee na hawa wasomi wa dini katika hii thread. Asante kwa mchango wako mkuu na naomba nikuache kwa sasa maana kuna habari nzito sana ninaifuatilia huko Tanzania ambayo ni ya kutisha sana kwa wote watakoisikia!

Asante!
 
Interesting. Sikujua Mwafrika wa Kike ni Mwanakijiji. Nimekuwa namfagilia MWK kumbe ni yule yule Mwkjj. Mwanakijiji I take back all the sifas I have poured to Mwafrika wa Kike.
 
Interesting. Sikujua Mwafrika wa Kike ni Mwanakijiji. Nimekuwa namfagilia MWK kumbe ni yule yule Mwkjj. Mwanakijiji I take back all the sifas I have poured to Mwafrika wa Kike.

Kwi kwi kw ikwi,

Jasusi umesahau kuwa wakishindwa hoja huleta viroja....

Muda si mrefu nitaitwa kuwa mimi ni Invisible au Mbowe...

Ukisoma PM nazopata utacheka hadi uvunjike mbavu. Hata hivyo najipongeza kwa kuwa na spidi kubwa ya kuandika kwa nick zote hizo na kupost maneno zaidi ya mia moja kwenye span ya sekunde tano tu!
 

Unafuatilia habari ya uchaguzi Kiteto, haina uzito wowote hiyo.
labda kichuguu tu ndiye anaweza asijue wewe ni Mwanakijiji, KOBA, Madela wa Madilu.

cha kuchekesha kuna sehemu unaandika kama Mwakjj halafu unakuja na jina la Mwafrika wa kike kujipa Thanks. huna tofauti na wale wanaocheza karata tatu, mmoja anajifanya mpita njia kumbe wako pamoja. kwa mtindo huu siiogopi jambo Forums kwani mtu mmoja ana majina manne.
 

Hakuna aliyeshindwa hoja hapa nimekupa maelekezo mazuri ya Cold war baina ya China na Marekani na jana nimekupa Mengine ukaona moto mzito hasa mawe ya kaka Mkandara ukakimbia kwa jina lako la kampeni Mwanakijiji, ili usipoteze wapenzi wako waliokuwa hawakujui Mdini umekuja na jina hili.

nimekupa hoja hadi za Biafra na Nyerere kuwa Nyerere aliwa support wa IBO kwa misingi ya kidini, huna hoja na umekiri kuwa MKANDARA kakupa maelezo mazuri. sasa nani aliyeshindwa?MBOWE unamuona mtu wa maana? kwangu mimi ni mtu wa kawaida tu ndio maana alikimbia hapa kwa vile hajui kuandika. na ametoroka shule yuko kwenye makongamano tu Dar. kusoma si mchezo.
 

Ukitaka tujadiliane katika mjadala huu, inabidi tukubaliane kuweka mbali dini ndio tutaelewana. Dini za kigeni za waarabu na wazungu hazijatusaidia katika matatizo yetu kwa miaka yote hii na mimi siko kwenye lori la wadini.

Wewe raia wa Naijeria unawatenga katika misingi ya ukristo na uislam na mimi nawaona wote kama waafrika simple and clear. Leta hoja utajibiwa lakini ukileta udini nitakushauri uende kule kwenye forum ya dini!
 
Kuna watu humu wana chuki na uIslam na wao wakitaja uIslam inakuwa si udini lakini muIslam akitaja tu ukiristo basi inakuwa mwao, mdini huyo.

Hebu tuseme kweli kabisa, ni nini kinachowaudhi waIslam wakiandamana kuja kichaka?

Nimebandika links hapo juu, ambazo zote zinaonesha jinsi huyu kichaka anavyopingwa kwa maandamano karibu kila nchi anayokwenda, labda iwe ni nchi ya kidikteta tu isiyoruhusu raia zake kuandamana.

Sasa cha ajabu ni nini, nimeuliza maswali humu, Jee na wale wa UDSM walioandama walikuwa waIslam?

Kwanza sioni tatizo ikiwa waIslam wameandamana. Kwani waIslam siku zote wapo kwenye haki na hakuna unafiki unafiki. Ikiwa wengine hawataki kuandamana ni haki yao.

Ikumbukwe kuwa maandamano yalikuwa halali na yalikuwa na baraka zote za serikali. Hakuna aliyevunja sheria za Tanzania na kama yupo basi polisi waliokuwepo kulinda amani hawakuona?

Tusilete udini, kuna watu wanatowa mambo yakejeli humu ukijibu unaambiwa udini.

Mimi sitochoka na wala sitokaa kimya kutetea haki humu, kwa yeyote yule na kwa muono wangu.
 

Kuna mtu alishauri wana JF wasivute bangi mbichi kwani zinaharibu akili ila inaonekana wewe hukuwa hapa JF wakati huo
 
Kuna mtu alishauri wana JF wasivute bangi mbichi kwani zinaharibu akili ila inaonekana wewe hukuwa hapa JF wakati huo

na wewe hukusoma ile ya MBOWE NA PUNYETO? au kwa jina la Wapuki? au ulikuwa kwenye safari zako za mawinguni?
asante M.M MWANAKKJ
 
Mwafrika wa Kike,
Nakuhakikishia kuwa wengi hapa wanakubali kuwa waislam wanapata treatment nzuri sana hapa marekani mara nyingi zaidi ya watu wa dini zingine ambao wanajaribu kushika dini zao kwenye nchi kama Pakistani na kadhalika

Najua umeondoka lakini bila shaka utasoma hoja yangu kama ulivyosema hapo awali kuwa kutochangia kwa watu haina maana hawasomi...

Issue hiyo hapo juu umeichanganya sana kwa sababu hatuzungumzii maisha ya waislaam ndani ya Marekani au nchi za kiislaam.
Heading of the issue ni AMERICAN FOREIGN POLICY..na sio mambo ya ndani....
Na wala wale waandamanaji hawakuwa wakisema maisha ya waislaam Tanzania isipokuwa nchi zile zilizovamiwa. Hata hao wazungu na hasa Mawamerakani hupewa maisha bora zaidi ya wenyeji as a fact wanaruhusiwa kunywa pombe na mambo mengi within their camps...
Hakuna states yoyote Marekani inayowapa waislaam nafasi bora zaidi ya wananchi wenye imani ya dini tofautikwa kipimo gani hasa?....
Nchi za kiislam zinakataza ku recruit watu kuingia dini kwa ghirib ambayo kwetu waislaam ni haramu. Sasa inapokuwa haramu Pakistan kuvuta waumini kwa kutumia hongo, vivutio ama niseme Takrima na umaskini wao mnachukulia kuwa waislaam wanawazuia dini nyingine hali hata waislaam wenyewe wanakatazwa kufanya hivyo nchi hizo hizo. A fair ground ni pale sheria inauma pande zote mbili.
Na waislaam hawafanyi hivyo hata nchi zinazoruhusu kama vile Amerika kwani nchi hizi lobbyst ktk kuvuta watu kidini ni jambo huru kabisa, hali sisi unafundisha dini na kueleza mabaya ya kutoamini kisha unamwacha mtu aamue mwenyewe. Now, kama unazungumzia mila za wahindi na waarabu hapo unaweza pata mengine mengi zaidi ikiwa ni pamoja na mavazi, utaratibu wa maisha, kazi na kadhalika.
Kumbuka tu kwamba hawa wenzetu waarabu na wahindi, dini zao ndio kabila lao yaani unapozaliwa ndani ya ukoo wa Punjab basi bila shaka wewe ni Singasinga. Msaudia ni Sunni na Muislaam na wengineo hivyo hivyo wakati sisi huku dini ni uchaguzi wa imani yako na ndivyo dini inavyofundisha kuwa hata sisi Wagalatia tunatakiwa kufuata vitabu hata kama hatukuzaliwa waarabu ama Punjabi..

Hivyo basi tuzungumzie foreign policy kwani ndicho chanzo cha maandamano hayo.
 

Hapa sasa unaongea mkuu!


Hadi hapa tuko pamoja mkuu


Hadi hapa tuko pamoja mkuu!

Hivyo basi tuzungumzie foreign policy kwani ndicho chanzo cha maandamano hayo.

Nimeuliza swali dogo tu.... wakati marekani ikivamia nchi za central na south amerika miaka ya Reagan? je inaweza kusemwa sasa hivi kuwa huo ulikuwa ugomvi dhidi ya wakristo?
 

Kuna mtu mmoja tu humu anayependa kulitaja jina langu namna hiyo..!!! Na yeye hatumii jina lake sasahivi humu ameamua kubadilisha na kujiita "Mtalii".
 

Anarusha huyo
 

iri ri shehe zomba naro rinatowagaga mapointi. watakuchiaga,
 
Mwafrika wa Kike,
Nimeuliza swali dogo tu.... wakati marekani ikivamia nchi za central na south amerika miaka ya Reagan? je inaweza kusemwa sasa hivi kuwa huo ulikuwa ugomvi dhidi ya wakristo?
Only if,... kama dunia inge wa indentify kama Wakristu..lakini yalichukuliwa majina mengine kama vile Sandinist ambayo sielewi maana yake..Hivyo basi tunaweza jiuliza why Sandinista.. ama hata hao wa Iraq kuitwa Insurgents kwa nini wasiitwe waarabu?.. kesho wakija kubali kuwa wao ni Insurgents mtaanza kusema wanajibagua.
Kumbuka mkuu wangu tuliitwa Mandingo, Nigger, Negro na kila mara tulipojaribu kuyakubali maneno hayo kwa kuyatapa sifa na ushujaa walikuja na jingine hadi majuzi tu, watu weusi wenyewe walipochagua kwa kauli moja kuitwa African -American. It's the first time mtu mweusi kapata pumzi ya kuchagua jina analotaka awe identified..otherwise ni mwenye nguvu tu mwenye haki ya kupachika watu majina.
 
Mwanakjj login zako za mwafrika wa kike umeziuza au uliziweka ktk stock market?...people knows u...wale waliomtosa Lowassa ni wale wasiri wake...na wale uliowapa nyeti zako zikaleak kwa wengine...
 
Kuna mtu mmoja tu humu anayependa kulitaja jina langu namna hiyo..!!! Na yeye hatumii jina lake sasahivi humu ameamua kubadilisha na kujiita "Mtalii".

unathibitisha kubadili jina lako sababu huyo mtu anakutajataja? ukishikwa wizi wewe usiseme na yule pia.

asante Mwanakijiji ukishindwa, unatumia jina la kike ili uonewa huruma.

mimi MTALII ni member humu kwa miaka kadhaa sasa, na mabangi nalo unatumia jina lisilo na hadhi.

kuna viongozi wetu wameumia Kiteto tufuatilie hali zao hatujali dini zao wala chama gani. tunatizama utu kwanza, wewe mjaji mtu kwa Ukristu na uchadema kwanza.
 
Ndugu zangu nadhani hii imetosha turudi kwenye Mafisadi maanake tukisahau hilo tumekwisha hakuna cha muislaam wala mkristu hapa.. Maslahi ya Umma mbele..

Mafisadi jamani mafisadi!....wakiwemo waislaam na wakristu kibao sijui tutaitwa kina nani baada ya Wapinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…