Wewe mwalimu njaa itakuua .
Wewe mwalimu njaa itakuua .
Siiamini tena hiyo miwatu mi nasubiria ajira! Najua itakuja kama mvua bila taarifa.
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.
Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.
Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.
Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014
Kaka mleta mada mimi ninalo hilo gazeti la mwananchi la tarehe 3/2/2014 lakini sijaiona hiyo habari naomba uniambie iko ukurasa wa ngapi? Samahani kwa usumbufu nataka kujirizisha tu.
Hapa pana utata, "Zitatangazwa tarehe 13-19 February", yaani wiki nzima itakuwa ni kutangaza tu ajira.
- Pia kuna habari ya kwamba, Dar es salaam, Tanga Mjini, na Arusha Mjini ajira hazitotangazwa. Ajira katika maeneo hayo zitatangazwa kwa maombi maalumu
Kwel mkuu hakuna taarifa hii kwenye hili gazeti' mleta mada anadanganya umma'
Kama atakuwa amesema uongo atakuwa amekosea maana watu wamenunua magazeti kwa lengo la kuwapa watu taarifa yenye uhakika. Hivyo si ustaarabu kabisa. Pia amesisitiza tuwajurishe na wengine sasa usomi gani huu jamani!