Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

Yeye katoa chanzo cha habari gazeti la mwananchi la jana 3/2/2014 sasa mbona hiyo habari haipo kwenye hilo gazeti? Au mimi ninamakengeza? Ninalo nimelipekuwa between line sijaona habari kama hiyo! Au yako mawili? Mwananchi A na B?
 
Serikali haina ela ya kuajiri walimu tena,
1.kwani maadhimisho ya miaka 37 ya ccm,
2.uboreshwaji wa daftari la wapigakura,
3.malipo ya wajumbe wa bunge la katiba,
4.kupunguza deni la taifa toka tr.27 mpaka tr.10 mwaka 2014.n.k
imefanya bajeti kuyumba kwa % kubwa,kwa hiyo tuendelee kuvumiliana
 
Nijuavyo mm,mwanaume huwa halali na njaa ila atachelewa kula!!!!!! so,muda utafika tu
 
Mmmmmmh!!! kweli kazi tutasubiri sana, hii sasa imezidi yaani badala ya GVT kuwa na shida na wafanyakazi[walimu] sasa walimu ndio wanakuwa na hamu na GVT, daaah lakin hainaga NOOOUMAAAA kama mtu amekaa kitaa tangia mwz wa 8 hadi xaxa hatoshindwa hapa
 
Wengine tulikuwepo kitaa tokea mwezi wa 5.
 
Kitila, you have put things in the manifesto which made me walk out of CCM (Kitila, umeweka mambo katika ilani ambayo yalinifanya mimi nitoke CCM). Nikamuulize yapi hayo mzee, akanieleza sera kama vile za elimu bure, serikali kusimamia kilimo, na akanionyesha sura kama mbili hivi katika ilani ambazo kwa maoni yake, na kweli ndivyo ilivyokuwa, zilikuwa haziendani na msimamo wa CHADEMA kiitikadi na kifalsafa. Nikacheka sana
 
Kaka wanapo andika hivyo kwa uelewa wangu mdogo huenda wana maana kati ya tarehe 13 hadi 19 wakiweka interval. Kuripoti ni kati ya tarehe 1 hadi 10, maana yake ndani ya hizo siku awe amelipoti. Kwa kiingereza ni within 13-19 and 1-10 respectively.

there ur!
 
Mtoa taarifa,wewe ni mpuuzi nambari one.
Kwanini udanganye watu?
Hiyo taarifa kwenye gazeti tajwa,mbona haipo?
 
sindo umbulura wa mitandao, jamii forum ipo kwa ajili ya kujulisha na kuhabarishana ukweli wa mambo, siyokuja kusema mambo ya uongo na kuweka ujinga wako humu,eti janzo mwananchi,
 
sindo umbulura wa mitandao, jamii forum ipo kwa ajili ya kujulisha na kuhabarishana ukweli wa mambo, siyokuja kusema mambo ya uongo na kuweka ujinga wako humu,eti janzo mwananchi,

You idiot, dont you know the meaning of Press conference. Usiropoke tu mie nikudanganye wewe unanilipa. Subiri hiyo tarehe uje untake radhi, usikariri kaka mkubwa nami pia nazisubiri hzo ajira xo kukujulisha ndo kosa ama jifunze adabu.
 
Mtoa taarifa,wewe ni mpuuzi nambari one.
Kwanini udanganye watu?
Hiyo taarifa kwenye gazeti tajwa,mbona haipo?

Aint you forced to believe everythng written in Jf, maneno makali ya nini, just wait for dat day then utajifunza ustaarabu, eenh brother.
 
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.

Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.

Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014

we2 upo ------ sana uwezi potosha umma ujui ni kwa kiasi gani umefanya watu wawadanganye wazee wao juu ya ajira za walimu hizo Tanzania uongo mumeweka ndo posho mana viongozi ni waongo raia waongo we2 na waziri wako wa tamisemi majaliwa mumeweka walimu wa kuwachezea waziri amedanganya umma na we2 umeamua kudanganya umma izo ni lana mjomba kumbuka kuwa unatafuta ladhi
 
adanganywi m2 Hapa hamna mwenye ukwe wala kujua zaidi ya waziri mwenye dhamana ya kutangaza. hizo ni tabiri tu za kujifarijiana, huenda zkatangazwa trh hizo kabla ya trh hizo au baada ya tarehe hzo! chamsing nikuvuta subira.
 
Aint you forced to believe everythng written in Jf, maneno makali ya nini, just wait for dat day then utajifunza ustaarabu, eenh brother.

Bado nasisitiza kuwa wwe ni mpuuzi,huwezi kuudanganya umma kisha ubaki salama.
Sina imani na weledi wako kiakili,hasa unapokurupuka ktk masuala susuavu kwa jamii kama haya.
Nilitaraji urekebshe taarifa/uombe msamaha kwa upotoshaji wako.
Pia uelewe,JF kuna wasomi&watu makini,tunajua kuwa ajira kwa kawaida huwa ni ktkt ya JAN/FEB na reporting dates ni kuanzia 1MARCH,so usijifanye mwerevu sana&jifunze kumakinika.Shaabash!
 
Back
Top Bottom