Iliitisha press conference au imeweka kwenye tovuti???
Mmmmmmh!!! kweli kazi tutasubiri sana, hii sasa imezidi yaani badala ya GVT kuwa na shida na wafanyakazi[walimu] sasa walimu ndio wanakuwa na hamu na GVT, daaah lakin hainaga NOOOUMAAAA kama mtu amekaa kitaa tangia mwz wa 8 hadi xaxa hatoshindwa hapa
Sio wa tano kaka tunaanzia baada ya kurudi matokeo kwani lait kama tungegwaya tusingekuwa tunazisubiri hadi kesho au nimeenda kombo kidogo nini?Wengine tulikuwepo kitaa tokea mwezi wa 5.
Kaka wanapo andika hivyo kwa uelewa wangu mdogo huenda wana maana kati ya tarehe 13 hadi 19 wakiweka interval. Kuripoti ni kati ya tarehe 1 hadi 10, maana yake ndani ya hizo siku awe amelipoti. Kwa kiingereza ni within 13-19 and 1-10 respectively.
sindo umbulura wa mitandao, jamii forum ipo kwa ajili ya kujulisha na kuhabarishana ukweli wa mambo, siyokuja kusema mambo ya uongo na kuweka ujinga wako humu,eti janzo mwananchi,
Mtoa taarifa,wewe ni mpuuzi nambari one.
Kwanini udanganye watu?
Hiyo taarifa kwenye gazeti tajwa,mbona haipo?
Katika Press conference mkuu.
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.
Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.
Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.
Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014
Aint you forced to believe everythng written in Jf, maneno makali ya nini, just wait for dat day then utajifunza ustaarabu, eenh brother.