Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo oktoba 22 kituo cha tafiti za maendeleo na demokrasia (CIP) kimewasilisha taarifa ya utafiti wa kura ya maoni uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, Mwaka huu 2025 ni mwaka wa uchaguzi lakini mpaka kufikia tarehe 29 kuna michakato mingi inayofanyika kuelekea uchaguzi mkuu.
Vyama 18 vimefanikiwa kusimamisha wagombea watakaoshiriki uchaguzi mkuu, na muelekeo wa siasa nchini 11% ya walioshiriki walijipambanua kuwa ni wafuatiliaji wa michakato ya kisiasa nchini 81% walisema ndio 19% hawakuwa wafuatiliaji wa kisiasa na kati ya hao 43% wanawake na 57% wanaume.
Matokeo ya utafiti yanasema kuwa 83% walioshiriki kura za maoni wamethibitisha kushiriki kupiga kura oktoba 29,2025 mwaka huu.