Taarifa ya daktari wa rais

Taarifa ya daktari wa rais

Iunganishwe ya jana ya taarifa ya daktari
 
Kwanza afya ya mtu inaweza kum limit kiutendaji, hivyo katika position nyeti kama urais, afya inaweza kuwa kigezo cha kum disqualify.

Pili hapa kuna issue nyingine tofauti na fya.Kama unakubali JK anaumwa lazima ukubali kwamba Ikulu pamoja na yeye mwenyewe JK ni wadanganyifu.Hatutaki rais mdanganyifu. Maana akitudanganya kwenye afya yake atashindwa vipi kutudanganya kwenye ma Richmond huko?
ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.
NYERERE ALIKUWA ANA MARADHI YA WENDA WAZIMU ALIKAA MIAKA 30 KWANINI HAMKUTUAMBIA KUWA NYERERE NI CHIZI?
 
Huyu doctor wa raisi wetu amechemsha sana kusema Mr president anadonate damu yake every six months... ametupa majibu ambayo tulikuwa tunajiuliza miaka mingi sana. Report nzima inaonyesha there is great desperation to hide the truth.
 
ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.
NYERERE ALIKUWA ANA MARADHI YA WENDA WAZIMU ALIKAA MIAKA 30 KWANINI HAMKUTUAMBIA KUWA NYERERE NI CHIZI?

Unajionyesha ulivyo out of touch.Unategemea government mouthpiece ikupe ukweli?

Halafu wakati wa Nyerere ungeambiwa wapi? Magazeti karibu yote ya chama na serikali, chama kimoja, internet hata Marekani bado haijawa commonplace, mtaani kila mtu ana keep tabs on kila mtu down to mjumbe wa nyumba kumi.

What are you talking about? Burying your head in the sand and hoping everything will be fine?

Huyu mtu ka faint publicly mara tatu so far.Hizi ni zile public tu, huko Ikulu na behind the scenes mara ngapi?

Unataka nini ili ujue Kikwete hali yake mbaya? Unataka afe jukwaani? Simtakii mabaya lakini waswahili walisema njia ya muongo fupi na mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Isije kuwa mnaandaliwa kisaikolojia kwa mtu kuachia ngazi kwa sababu ya afya. Hiyo shingo yake haina tabibibu? Isije kuwa , siku inavyozidi kwenda , kuanguka nako kuna ongezeka. Inawezekana anaanguka privately.
 
brotherjk.jpg
Rais Kikwete,

Daktari wa rais, Peter Mfisi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa vipimo hivyo ni pamoja na cha damu kwa ajili ya kuangalia virusi vya Ukimwi ambacho huchukuliwa kila baada ya miezi sita.

Mhh hapa kuna tatizo, kuna haja gani ya kucheki presidaa kama ana VVU kila baada ya miezi sita????
 
Shakespeare katika Hamlet, through Queen Getrude alisema

"The lady doth protest too much, methinks."

Similarly

"The doctor doth protest too much, methinks"

Nilijua tangu mwanzo kuwa hiki Kiingereza chako, lazima umepitia hivi vitabu. Kumbe sikukosea. Natamani nije nivisome ila nilionywa kuwa "sintaweza kuvielewa peke yangu..." Kuna ukweli? Samahani kwa kubadili topic.......
 
Isije kuwa mnaandaliwa kisaikolojia kwa mtu kuachia ngazi kwa sababu ya afya. Hiyo shingo yake haina tabibibu? Isije kuwa , siku inavyozidi kwenda , kuanguka nako kuna ongezeka. Inawezekana anaanguka privately.

Mhh Watanzania/Waafrica wanavyopenda madaraka! nitashangaa kama atachia ngazi hivi hivi, unless ni magonjwa yamemshinda nguvu
 
Nilijua tangu mwanzo kuwa hiki Kiingereza chako, lazima umepitia hivi vitabu. Kumbe sikukosea. Natamani nije nivisome ila nilionywa kuwa "sintaweza kuvielewa peke yangu..." Kuna ukweli? Samahani kwa kubadili topic.......

Agoro Anduru is just as relevant, if not more applicable...lol. Trouble is I read his books as a kid and I am not sure I can find them now.

Shakespeare can actually be a bore if you are not into the classics or English major type of passion for the language and it's use. Ila his themes and delivery is classic in the timeless sense.Kama tatizo ni kiingereza chake cha zamani unaweza kupata vitabu vinavyochambua vitabu vyake, inakuwa unasoma na guide.

Back to the subject at hand.
 
YE wewe hujui hiki kipimo cha colonoscopy kinafanywaje; utauonaje utumbo wako wakati uchunguzi unafanywa kupitia matakoni? You have to be sedated.

Colonoscopy sio lazima uwe sedated, na huchukua dakika 5 tu, ikizidi sana ni dakika 30. Kama mtu sio muoga na anataka kuona kinachoendelea unaweza ona kwa screen kwa zile hospitali zenye vifaa hivyo. Sababu hata daktari anayefanya hivyo anaona utumbo kwa screen. Hivyo Bulesi usibishe tu sababu unataka andika.

Mtu anayefanyiwa hii kitu anaweza hata akaendelea piga stori na mwenza wake waliokuwa naye ndani ya chumba ama hata manesi. Ni kitu isiyo na maumivu zaidi kuna kuwa na woga wa anayefanyiwa.
 
Huyu mtu ka faint publicly mara tatu so far.Hizi ni zile public tu, huko Ikulu na behind the scenes mara ngapi?

Mkuu Bluray unaweza kuthibitisha hizi mara tatu, sisemi hata kama ni mara mbili ni chache. Lakini tusizushe vitu kama havijatokea.
 
Mkuu Bluray unaweza kuthibitisha hizi mara tatu, sisemi hata kama ni mara mbili ni chache. Lakini tusizushe vitu kama havijatokea.

Mwanza wakati wa kampeni, Pale Jangwani wakati wa kufunga kampeni, na hivi Mwanza wakati wa miaka 100 ya kanisa. Zile za kuanguka na kuzima ofisini hatuna ukakika nazo! Hizi zingine zilikuwa public, ukitaka tarehe mPM invisible....!
 
Mkuu Masanilo, Mwanza wakati wa kampeni hakuanguka, bali alivutwa miguu na jamaa. Huyu jamaa alijitetea kuwa alikuwa anapinga kitendo cha Wasukuma wa Bujora kutaka kumpa u Chifu Kikwete. Hivyo wakati wa kampeni Mwanza hakuanguka. Hivyo kusema kawahi dondoka public mara 3 ni uzushi.

Za kuanguka ofisini nao ni uzushi mtupu.
 
I can take back that one time, but two times is equally concerning.

Kusema za kuanguka ofisini ni uzushi bila kusema unajuaje kwamba ni uzushi ni uzushi.
 
I can take back that one time, but two times is equally concerning.

Kusema za kuanguka ofisini ni uzushi bila kusema unajuaje kwamba ni uzushi ni uzushi.

Ni uzushi sababu naandika jambo ninalolijua. Ningekuwa sijui ningekaa kimya. Kuonesha kuwa wewe ndio mzushi, angalia uliandika kuwa kawahi anguka public mara tatu. Nikakuuliza ueleze hizo mara tatu ni wapi?. Sasa unakubali kuwa mara mbili. Na hata wakati nakuuliza nilisema sisemi mara mbili ni chache, bali tuache uzushi na tuzungumzie linalojiri.

Sasa kama ulianza zusha na kuweza andika alianguka mara 3 public (wakati ni mara 2) unashindwaje zusha za kuanguka ofisini. HILI LA KUANGUKA OFISINI NAANDIKA TENA BILA WASIWASI NI UZUSHI.
 
Mfumwa! Rais wetu anaumwa, tuache politik...tumuombee heri !
 
...Mtu mzima kuanguka anguka bila sababu ni ishara ya kaugonjwa jamani. Haya mambo ya 'hakuna wasiwasi' ndio yale ya kina Alhaj Umaru Mussa Ya' Ardua...

au ndio mpaka ifikie kama Mwalimu ndio tuambiwe ulikuwa ni mkanda wa jeshi tu, as if hicho pia ni cheo? ...
 
Kwenye hadhara Rais wetu ameanguka mara mbili. Ya kwanza ni wakati wa hitimisho la kampeni yake pale jangwani baada ya safari ndefu za nchi nzima!, ya pili ni hii ya Mwanza baada ya mizunguko na mikutano mingi kila kukicha!

hata akili ya kawaida tu inakubali kuwa huu ni uchovu! hatukuhitaji daktari atuambie hili. Ila tunashukuru kama vipimo vingine vinaonyesha kuwa muheshimiwa yupo fiti.

Basi pumzika sasa muheshimiwa utekeleze yote uliyotuahidi na unayojaribu kututafutia huko abroad. Hususani hili la kushughulikia marafiki zako mafisadi. Muda unaenda mkuu!!
 
Back
Top Bottom