ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.Kwanza afya ya mtu inaweza kum limit kiutendaji, hivyo katika position nyeti kama urais, afya inaweza kuwa kigezo cha kum disqualify.
Pili hapa kuna issue nyingine tofauti na fya.Kama unakubali JK anaumwa lazima ukubali kwamba Ikulu pamoja na yeye mwenyewe JK ni wadanganyifu.Hatutaki rais mdanganyifu. Maana akitudanganya kwenye afya yake atashindwa vipi kutudanganya kwenye ma Richmond huko?
ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.
NYERERE ALIKUWA ANA MARADHI YA WENDA WAZIMU ALIKAA MIAKA 30 KWANINI HAMKUTUAMBIA KUWA NYERERE NI CHIZI?
Rais Kikwete,
Daktari wa rais, Peter Mfisi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa vipimo hivyo ni pamoja na cha damu kwa ajili ya kuangalia virusi vya Ukimwi ambacho huchukuliwa kila baada ya miezi sita.
Shakespeare katika Hamlet, through Queen Getrude alisema
"The lady doth protest too much, methinks."
Similarly
"The doctor doth protest too much, methinks"
Isije kuwa mnaandaliwa kisaikolojia kwa mtu kuachia ngazi kwa sababu ya afya. Hiyo shingo yake haina tabibibu? Isije kuwa , siku inavyozidi kwenda , kuanguka nako kuna ongezeka. Inawezekana anaanguka privately.
mhhh atakubali huyu wakati wanasema ni mbishi sanaMhh hapa kuna tatizo, kuna haja gani ya kucheki presidaa kama ana VVU kila baada ya miezi sita????
Nilijua tangu mwanzo kuwa hiki Kiingereza chako, lazima umepitia hivi vitabu. Kumbe sikukosea. Natamani nije nivisome ila nilionywa kuwa "sintaweza kuvielewa peke yangu..." Kuna ukweli? Samahani kwa kubadili topic.......
YE wewe hujui hiki kipimo cha colonoscopy kinafanywaje; utauonaje utumbo wako wakati uchunguzi unafanywa kupitia matakoni? You have to be sedated.
Huyu mtu ka faint publicly mara tatu so far.Hizi ni zile public tu, huko Ikulu na behind the scenes mara ngapi?
Mkuu Bluray unaweza kuthibitisha hizi mara tatu, sisemi hata kama ni mara mbili ni chache. Lakini tusizushe vitu kama havijatokea.
Mwanza wakati wa kampeni, Pale Jangwani wakati wa kufunga kampeni, na hivi Mwanza wakati wa miaka 100 ya kanisa. Zile za kuanguka na kuzima ofisini hatuna ukakika nazo! Hizi zingine zilikuwa public, ukitaka tarehe mPM invisible....!
Mkuu Masanilo, Mwanza wakati wa kampeni hakuanguka, bali alivutwa miguu na jamaa. Huyu jamaa alijitetea kuwa alikuwa anapinga kitendo cha Wasukuma wa Bujora kutaka kumpa u Chifu Kikwete. Hivyo wakati wa kampeni Mwanza hakuanguka. Hivyo kusema kawahi dondoka public mara 3 ni uzushi.
Za kuanguka ofisini nao ni uzushi mtupu.
I can take back that one time, but two times is equally concerning.
Kusema za kuanguka ofisini ni uzushi bila kusema unajuaje kwamba ni uzushi ni uzushi.