Taarifa ya daktari wa rais

Time alone, oh time will tell,
You think you are in heaven but you are living in hell,
You think you are in heaven but you are living in hell,
Time alone, oh time will tell,
 
Ugonjwa ni personal issue ya mtu kwa hiyo kama wana danganya au la shauri yao. Hata kama ni public figure haimaanishi lazima mujue kila kitu kuhusu yeye. Kama wana danganya hiyo ni juu yao. For now let's just take the doctor's words.

Nadhani hili ungewambia madaktari wasirudie kutuletea press release zinazohusu personal issues.
Lakini wakishaweka hizo personal issues nje lazima zijadiliwe na watu, either ni uongo au ukweli vitajadiliwa.
 
Taarifa haijasema anapima ukimwi kila baada ya miezi sita. Imesema anafanya "general examination" kila baada ya miezi sita kitu ambacho kwa raisi ni sahihi kabisa !!
 
Taarifa haijasema anapima ukimwi kila baada ya miezi sita. Imesema anafanya "general examination" kila baada ya miezi sita kitu ambacho kwa raisi ni sahihi kabisa !!

immak karibu sana JF na asante sana kwa maelezo mazuri.
 
Mbona afya ya muheshimiwa imechukua centre stage hivi sasa....kwani si alishazimikaga before haikuwa big deal.....haya mie nipo pembeni hapa nasubiria habari mvunjiko....
 
Nadhani hili ungewambia madaktari wasirudie kutuletea press release zinazohusu personal issues.
Lakini wakishaweka hizo personal issues nje lazima zijadiliwe na watu, either ni uongo au ukweli vitajadiliwa.

Hakuna vitu vingi personal katika urais. Ukitaka urais unachukua dhamana ya kuongoza watu. Unapochukua dhamana hii una surrender privacy katika mambo mengi, including afya.Wananchi wana haki ya kujua kuhusu afya yako.

Kwa hiyo, si kweli tu kwamba wakiweka hizo issues public ni haki kujadiliwa, bali pia ni kweli kwamba wanawajibika kuweka wazi issues karibu zote zenye relevancy katika utendaji, zikiwemo za afya.

Hutaki kuwa na rais mwenye multiple seizures.
 
Mbona afya ya muheshimiwa imechukua centre stage hivi sasa....kwani si alishazimikaga before haikuwa big deal.....haya mie nipo pembeni hapa nasubiria habari mvunjiko....

Kwa sababu once inaweza kuwa happenstance, sasa huku kujirudiarudia kwa kuzimika kunaongeza uzito wa hoja kwamba ana ugonjwa.

Seriousness ya ugonjwa inaweza kusemwa kwamba inazidi kutokana na kuzidi kwa dalili. Kuzidi kwa dalili kutoka mara moja kwenda mbili (publicly) kwa mtu nyeti kama rais ni kitu cha kutupa concern, unless you want to bury your head in the sand and ignore the obvious of course.
 
ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.
NYERERE ALIKUWA ANA MARADHI YA WENDA WAZIMU ALIKAA MIAKA 30 KWANINI HAMKUTUAMBIA KUWA NYERERE NI CHIZI?

Sasa hapa unaonyesha udouble standard. Umesema kuhusu Kikwete tumskililize daktari haya ya Nyerere kuwa "chizi" yalisemwa na daktari yupi? Au una taka tuku sikilize wewe? Ama kweli chuki hugubika uelewa wa mtu.
 
Nadhani hili ungewambia madaktari wasirudie kutuletea press release zinazohusu personal issues.
Lakini wakishaweka hizo personal issues nje lazima zijadiliwe na watu, either ni uongo au ukweli vitajadiliwa.

Hapo mkuu nime kubaliana na wewe.
 
Kwani akisema kama ana ugonjwa fulani itakuwaje?? na yeye ni public figure....kuliko huku kuambiwa kuwa ni uchovu. Kama ni uchovu basi inabidi afukuze kazi idara nzima ya itifaki, hawajui kazi; inakuwaje wanamschedule Rais wa nchi nonstop kiasi hicho hadi inakuwa aibu??
Otherwise, muheshimiwa Rais, 2010 wewe pumzika tu maana inaonekana mikeke mikeke ya kuongoza nchi haiwiani na hali yako ya kiafya, inakufanya uchoke sana, hivyo tunakuomba ukapumzike tu. We as a country...will do just fine!!
 
Mimi naona sawa Dakitari kueleza lakini asingeingia sana ndani, anawapa maswali mengi wadaku. Kuumwa nikawaida angesema Rais ana low pressure au low blood sugar,ingetosha tupo wengi tunazimia kila mara na hayo matatizo. Why mlolongo wa maelekezo!!
 
Kwa hiyo hukupenda aende kwao Bagamoyo kupumzika? si madaktari walimwambia huo ni uchovu?
Si ajabu alijaza fomu ya likizo ya wiki ili apumzike. Sioni tatizo yeye kwenda Bagamoyo. Mwache aende tu.
 
ripoti ya daktari tumesoma.tuache kumsikiliza daktari tukufuate wewe? Mie naona hamna jipya kwani nyinyi sio madaktari kaeni na uzushi wenu.
nyerere alikuwa ana maradhi ya wenda wazimu alikaa miaka 30 kwanini hamkutuambia kuwa nyerere ni chizi?

afadhali na chizi kuliko fisadi.....
 
museme kweli kama mziki mutwambie au kitetemeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…