RealTz77
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 738
- 41
Hii ni katika kuweka mambo sawa na siamini Daktari atasema uongo mkubwa hadharani, angekuwa ana matatizo ya afya well wangekaa kimya wala asingeongea mtu, so nothing wrong hapo, tunataka na mambo mengine yawe wazi namna hiyo kuzumngumzia sijui utumbo wa raisi ni mzima etc sasa hawa kina Luhanjo nao wawataje watu namna hiyo ya uwazi wa kina mafisadi tujue kuwa hapo ikulu pia ni safi kama afya ya raisi ilivyo safi,well nimeburudika kufahamu hilo!