Ni kifafa tu ,akuna jingine ,kama aliishiwa nguvu na kupinda shingo bila ya shaka hapo hakuna mbadala na arudishwe uraiani apatiwe matibabu,kama hao madoctors wanaona clear katika vipimo vyao.
Na kuhusu infections za uti wa mgongo na shingo hilo si dogo ,ni jambo ambalo linaweza kuparalizisha sehemu fulani kwa wakati fulani ,kwa maana unakuwa unajikumbuka position zako za kuutegea mwili ,sasa kindende ukisahau na ukakosea na kuzisitua sehemu zenye athari hapo unaweza ukajikuta unapiga mweleka chali au pindu ,ila baada ya kukaa sawa na kujipiga na chini unakuwa upo makini na bila ya tabu yeyote ile unairudia hali yako ,japo utakuwa na maumivu ya ndani ,inaweza ikakuchukuwa muda kusahau tena na ndivyo inavyoonekana kwa Mheshimiwa ,labda mutafute dataza za siku ya matukio hayo ya kuanguka ,mutaona ni kila baada ya muda gani anakuwa anajisahau na kujiona yupo fiti kufanya manjonjo.
Dakitari amesema siku hizi hatikisi shingo na kichwa ,hii inamaana utingishaji wake unatokana na kuviweka sawa viungo vya sehemu hiyo. Athari hizi hutokea sehemu zinazokaribiana na mabega na ikiwa kuna kitu kitapata msituko katika sehemu hizo unaweza kuanguka au kujikuta unaelemea upande mmoja na tindi za mgongo za sehemu hiyo inasemekana huwa zinapata maumivu yanayoendelea kwa muda wa masiku ,japo utamuona mtu yupo makini lakini anakuwa hana nguvu na ugeukaji wake unakuwa wa kutegea tegea kama aneogopa kusituka shingo.
Sasa kidogo tumefarijika kwa kuijua hali ya Mheshimiwa Raisi na ugonjwa unaomsumbua ,anaweza kuparalize asifanye mchezo na mambo ya uti wa mgongo ni hatari sana ,na hili nimeliona pale dakitari walipomshauri na kumwambia afanye mazoezi tena mazoezi maalum , ni kweli kabisa nimeshawaona watu waliokuwa na kupata atahari hizo wakipewa aina ya mazoezi fulani tu.
Watupe na muhtasari wa afya ya Nkapa tuone ,jamaa anatumia vidonge vya kuzidisha unene ili kupambana na mdudu. Kama mnamkumbuka Mkapa na alivyo sasa mtajua unene unaomzidi si wa kawaida .tutampeleka Geneva hivyo hivyo.