Taarifa ya habari mwaka 2090

wakusoza

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
628
Reaction score
648
kutoka kituo cha habari cha taifa TBC;
habari ya kitaifa :mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM mhe.Majambili Mafuru akili kushindwa na mgombea mwenza wa CHAUMA mhe.Bahati Mwakapogba
Habar za kimataifa:Marekani yaishukuru Tanzania kwa misaada yake iliyotoa kusaidia watu wasiojiweza nchini humo
Habar za biashara:viwango vya fedha duniani
1Tsh=124000$
1Tsh=834470€
Habari michezo:bingwa mtetezi wa kombe la uefa mara mbili mfululizo,Arsenal imefanya sherehe za kumbukumbu ya aliyekuwa kocha wao wa marehemu arsene wenger aliyeiaga dunia mapema mwaka 2025
Tanzania yaichapa brazil bao 5-0 katka mchezo wa fainali za kombe la dunia
Na katka mchezo wa masumbwi bondia wa kitanzania amebamizwa na bondia wa kivietnam had kukimbulia mawe japo na mawe yake bado bondia huyo wa kitanzania alichezea
mwisho wa taarifa ya habar
 


Hatimaye baada ya misukosuko mingi Manchester United yatinga fainali za UEFA tangu mwaka 2011. Mechi ni jumamosi usiku.
 
Umesahau Na Hii Wakazi Wa Songea Walalamikia Ukosefu Wa Maji Ya Mto Ruvuma Ni Baada Ya Kufungwa Lindi
 
Maybe After the Colonization of Europeans by Africans na nibaada ya Yesu kristo kurudi Duniani...
 
Kuna haja ya mtoa post kuunganishwa na Lema kule kisongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…