Ningependa kama Ungetaka tukupe situations za Rushwa tulizo kutana nazo.
1. Kutoa mzigo bandarini bila Rushwa imekula kwako. Gari lazima wata uplift, Upande wa makontena kuna wafanyakazi wa Customs TRA side wamepata utajiri wa kutisha in a very short time!!
2. Traffic akikusimamisha toa mkono nje ukiwa umeukunja, weka kiasi chochote cha pesa, atakuja ataangalia ndani ya gari lako kama akina Jerry Muro hawamo anapokea Chake then hakuna storry.
3. Tax Audit, Ni balaa tupu
4. Auditing za Halmashauri, Lazima mhusika akimaliza kazi anaondoka na Kibahasha cha Kaki.
5. Ukiwa na Tshs 80,000. unapewa Driving Licence hata kama hujawahi kuona gari katika maisha yako yote.
6. Katika vyuo vingi sasa hivi kuna ma Lecturer mabrazameni, Mademu Kupewa mitihani sio kitu kigeni tena.
7. Ukitaka Tenda yoyote serikalini, Lazima uhonge karibu nusu ya Faida utakayopata.
8. Ukitaka kuunganishiwa umeme nyumbani kwako, Bila rushwa labda wajukuu ndio watakuja kufaidi huo umeme.
9. Ukitaka Insurance wakulipe bila usumbufu lazima utoe kitu kidogo.
10. ........... so Embarrassing!!!!!